Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Huenda baadhi ya maprof hula mimea iliyozuiliwa - ni kwa aliyesoma kitabu cha kivuli kinaishi atagundua mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?
How did he become a professor anyway!!?
Hii ndiyo jf bhana.Sidhani kama umewaza kwa kutumia kichwa, na kwavile mawazo yenu yame egemea hasi kwa kila kitu basi huwezi kumuelewa kabudi anachomaanisha.
Na kama wewe ni msimi pia ni kijana basi nchi hii hatuna watu wa kuleta mapinduzi ya kiuchumi na mabadiliko ya nchi, mara nyingi mnawaza matumbo yenu yashibe kwanza.
Na ndio maana hamkosi vitambi wakati uhakika wa maisha ni mdogo.
He became a professor before the way he is now. Anyway he is a great manTanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?
How did he become a professor anyway!!?
Kabudi mpaka ametusahau na sisi wa KILOSA????Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Ni kawaida ya watawala awamu ya pili kujitengenezea kwao Ili kujiandaa kustaafu