johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Ndio sababu unateseka na chato?Kwa wivu wenu mlizuia mradi wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu unateseka na chato?Kwa wivu wenu mlizuia mradi wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo
Hamna rais wa awamu yoyote aliyependelea kwao kama huyu wa leo usitudanganye,nyie baadaye akishatoka kwenye urais mnaanza magu alikuwa mwizi,fisadai,alipendelea kwao kwa sababu uzalendo wenu ni sifuri mnapenda kumpamba mtu sifa za kila aina akiwa kwenye mamlaka akishatoka anakuwa takataka,poor minded system.Kosa lipi hapo limetendwa!weka data,tutumie data kusema Kuna kosa lipi hapo,je miradi ingejengwa mtambaswala Lindi kungekuwa na kosa?
Au je ingejengwa Kyelwa Kagera je?au ijengwe Manyara Kiteto!?wapi ikijengwa kila mwananchi ataridhika na kusema hapa Hili lina maslahi kwa nchi nzima,
Wapo watu wanasema SGR,Madege ya ATCL hata bwawa la Nyerere la kufua umeme havina tija,ni matumizi mabaya ya pesa,inategemea unaangalia kutokea wapi.
Serikali hii inamatumizi mabaya ya pesa,na upendeleo,ukabila,sikatai.
Swali je,ajenge wapi ambapo wananchi hawatapiga kelele,afanye mradi upi ambao kila mbongo ataridhika?Hapa Ni Nyerere tu aliweza,
Viongozi wote waliotawala nchi hii kwa namna yoyote ile walipendelea maeneo wanayotoka,na hili halitaisha leo,hii ni dalili ya tatizo/Ugonjwa,tusishambulie dalili,tupambane na Ugonjwa,
Hata huko chato kila mtu anaweza kwenda kuwekeza
manina sasa hivi hadi mataga mnamtamani Ni yeyee 🤣 🤣 🤣Hahahaaaa...... Ni yeye chalii!
Kwani wanaoishi Chato siyo watanzania?!Yeye anawasemea wataanza kama nani? Amewafanyia lini mahojiano kujua mawazo yao kuwa kila mtanzania anaipenda chato?
Hahahaaaa..... Mkimbizi angeuza nchi yule!manina sasa hivi hadi mataga mnamtamani Ni yeyee 🤣 🤣 🤣
yes kwa Wachina 🤣 🤣 🤣Hahahaaaa..... Mkimbizi angeuza nchi yule!
Chadema na Wachina wapi na wapi bwashee?yes kwa Wachina 🤣 🤣 🤣
nimemaamisha ni yeyee hajapata nafasi ila tayari China washanunua nchi leo wakianza na chato.Chadema na Wachina wapi na wapi bwashee?
Nyie kwenu Ubelgiji!
Njozi kama hizo alikuwa nazo Rais Mobutu Sese Seko. Lakini zilizimika zote mara tu alipotoka madarakani. Washauri wa kariku wa Mkulu epukeni kujipendekeza sana kwa kumpa ushauri uliokuwa fyongo.Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Hilo jiji lingepewa jina la Magu,hivi Tanzania anayoisemea kabudi ni ipi?Chato kuwa jiji kutamnufaisha Mtanzania mnyonge?Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Nilisema, washaanza kuja! Chato kuwa jiji roho zinawaumaa! Ukiona inakuuma chomoa!Low minded
Ichomoe wewe kwanza maana naona unaugulia na kupumua kwa shidaNilisema, washaanza kuja! Chato kuwa jiji roho zinawaumaa! Ukiona inakuuma chomoa!
Toooobaaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemaamisha ni yeyee hajapata nafasi ila tayari China washanunua nchi leo wakianza na chato.
Kikwete alitaka kujenga jiwe akasimamisha,kama ingekuwa Chato naamini hata kupitisha mizigo Dar kungepigwa marufuku,ingeamuliwa ipitie ChatoTanzania ni jiwe.
Anatamani chato iwe kama majiji makubwa ya china ila ndo hivyo hakuna namna anakuna panapokunika.
Anajitutumua kuipendelea chato kadri awezavyo.
Nna uhakika bandari ya Bagamoyo ingekua chato angekubali ijengwe haraka sana.
Hapo kwenye michango yako indiyo napataga wasiwasi sana juu ya IQ yakoKwani wanaoishi Chato siyo watanzania?!
Mbona Arusha na Moshi mnapambana muifikie Carfonia?!
Acheni wivu wa kishamba bhana!