Wa Ubelgiji hawezi kuja kwa sababu ni beberu. Baada ya wa Burundi, atafuata wa Zimbabwe. Hawa ndio wazalendo wenzetu.Akiondoka wa Burundi atakuja wa Ubelgiji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Ubelgiji hawezi kuja kwa sababu ni beberu. Baada ya wa Burundi, atafuata wa Zimbabwe. Hawa ndio wazalendo wenzetu.Akiondoka wa Burundi atakuja wa Ubelgiji!
Mchina hakwepeki daaaadeki.
Wa Ubelgiji hawezi kuja kwa sababu ni beberu. Baada ya wa Burundi, atafuata wa Zimbabwe. Hawa ndio wazalendo wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameamua kuja kukazia mikataba na masharti yao magumu yaliyopitiliza, wao waChina wanaita (Overlord Clause) ili kuvuna wanachohitaji toka kwa nchi masikini na dhaifu kama Tanzania, beberu toka Mashariki ya Mbali anawasili .
What is the overlord clause?
Jicho la tatu linaniambia haya:
Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.
SGR hiyo kwa wachina
Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.
JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea kiko wapi sasa!
Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.
Amechukua,ameweka,Waaaaaaaaaah.![]()
Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania
Senior management officials of these Chinese companies have been detained in Tanzania since the first week of November.zeenews.india.com
We unyamaze tu hakuna lolote la maana, ni sawa na mpiga ramli tu. Waziri wa mambo ya nje mwenyewe anakuja rasmi kumwona mwanaume wa shoka nyumbani kwake Chato, wewe unabwabwaja tu. Tanzania is better now under the leadership of JPM.Jicho la tatu linaniambia haya:
Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.
SGR hiyo kwa wachina
Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.
JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea kiko wapi sasa!
Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.
Nchi ambayo ina import cover ya miezi sita na ushee unafananisha na waliokuwa wanauza matango? JPM ameweza kuweka mambo vizuri, kila mnavyofikiri atakwama yeye ndio anapasua anga. Mwacheni Mwanaume moja wa shoka ambaye anatekeleza. Wale malofa wenu walifanya nini zaidi ya kuwatajirisha nyinyi na vibeberu vyenu na kututukana JF?Nilikuwa nawaza kwa sauti ile Project umeme tumelipa 1.25Tril out of 7 .....heeeee nikaona mbona safari ndefu kwa TRA base hii hii Hanna kitu !! Njoo SGR aahh nikaona huruma kwa bwana mkubwa kuwa sisi donor country na tunajenga kwa pesa za ndani ......nawaona wachina wanacheka kiko wapi mlikataa loan 9T from ecim China bank sasa mnarudi kivingine ngoma imebuma !! Beberu anacheeka anatuangalia tuuuu!!!! Muda ni mwalim mzuri sanaaaa
Kasome habari ya money laundering ya benki ya China CCB .......Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv habari!
Maendeleo hayana vyama!
Washauri wenyewe ndiyo hao hao maana ndiyo walio tayari kukubali kuandaliwa nini wasemeTuombe Mungu kwenye hayo majadiliano ya mikataba, wale waliohusika na majadiliano kuhusu makinikia wasihusishwe ama sivyo tutaiashia kupiga bao tena kama walivyotubadilishia kutojenga SMELTER nchini!!!
Razima niseme ukweeriiiiNasema uongo ndugu zangu!!
Wanapukutika vibayaIendelee huko huko, isituonee sisi wanyonge.