Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

Serikali haioni haya yote? Namaanisha angalau kuchukua hatua kwa wahusika iwe funzo kwa wengine?.
 
Sikilizeni video fungua msikie Professor hajapigwa ni mjanja wamemrudishia pesa zake nadhani walimtumia ili kuhamasisha watu kwa majina ya watu wazito
 
[emoji23]dah ndugu yangu!
Nikumbuke kwa kufanya hata muamala sio kwa majanga tu
Nimecheka balaaa. Ntakukumbuka aisee. Believe me. πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…