Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

Aiseee hatari sana Profesa alilamba asali tangu enzi za nyerere inamaanisha hajawekeza miradi ya maana mpaka akashawishika kuingia kwenye Upatu?
 
Ni kaliua, na aliwahi kua mbunge wetu. Ajabu inasemekana ni Prof wa hizo mambo za kilimo, inakuje anapigwa kirahisi?[emoji1787][emoji1787]
Kuwa Profesa siyo big deal. Ni ualimu tu sawa na wa shule ya msingi, ila huu ni wa chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom