Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

Inasikitisha sana, watu wanafanya advertisement mpaka kwenye radio na TV kumbe ni matapeli na serikali ipo tu.
Huo mchezo ni wa hao viongoz
Nan achukue hatua sasa wanatuma watu wachezeshe kwa niaba yao kama hujui

Qnet,kalynda na wengine michezo ya vigogo hiyo
 
Nimeona na jina la joyce mhavile pia
Yaani hadi wale unaowaona kidg wako makini wanaingia kwenye vimitego vya ajabu kama hivi duh 😀
 
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
View attachment 2588075
Huyu Peofesa ni mpumbavu sana na avuliwe u-Profesa na chuo kilichompa hadhi hiyo.

Kwa nini upigwe kizembe namna hiyo kwa mambo ambayo yako wazi
 
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
View attachment 2588075
Fedha yoyote ikipatikana kwa njia za janjajanja huwa lazima irudi ilikotoka kwa namna usizojua
 
Kapuya Ni wa mufindi Iringa Kama sijakosea

Iringa hawana tabia hizi

1682216972643.png
 
Back
Top Bottom