Profesa Kitila Mkumbo: Ushindi wa Dkt Ndugulile ni Matokeo ya Mafanikio Ya Miaka mitatu ya Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Screenshot_20240828-175412_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3081545

hilo ni bayana kabisa,
na pamoja na hilo,

Dr.Samia Suluhu Hassan ndie aliechochea moto wa maana sana duniani, Dr.Tilia Akson, spika wa bunge makini sana wa bunge letu tukufu la Tanzania, na akawa ndie Rais wa shirikisho la mabunge duniani :pulpTRAVOLTA:
 
Profesa Kitila Mkumbo,kwenu ni singida. Sikiliza habari hii
 
Attachments

  • VID-20240828-WA0022.mp4
    11.6 MB
hilo ni bayana kabisa,
na pamoja na hilo,

Dr.Samia Suluhu Hassan ndie aliechochea moto wa maana sana duniani, Dr.Tilia Akson, spika wa bunge makini sana wa bunge letu tukufu la Tanzania, na akawa ndie Rais wa shirikisho la mabunge duniani :pulpTRAVOLTA:
Utashangaa ma CHADEMA yanapinga maana yana wivu sana.
 
Mwambie Mkumbo aache upunguani!
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3081545

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwambie Mkumbo aache upunguani!
 
Utashangaa ma CHADEMA yanapinga maana yana wivu sana.
wapinge tu lakini wakae wakijua bayana tena waziwazi ccm itashinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu bila mbambamaba yoyote, wapende, wasipende ukweli huo,

chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, tunashinda kwa kishindo kitaifa na kimataifa :pulpTRAVOLTA:
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3081545

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Tayari kumekucha
Yakija majanga napo sifieni basi
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3081545

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na kifo chake ni mafaniko ya Samia? Muache unafiki na uchawa
 
Na kifo chake basi ni matokeo ya mafanikio ya mama samia.
Msipende kutoa sifa za ovyo ovyo hadi mnakuwa mnamkufuru Mungu
 
Back
Top Bottom