Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Ulivyoandika ni kama ulikuwa unasubiri afe ili umnange huyo jamaa, ni sehemu ya roho mbaya za kitanzania za miaka ya karibuni.Na kifo chake ni mafaniko ya Samia? Muache unafiki na uchawa