S Steven Joel Ntamusano JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 5,203 Reaction score 3,913 Nov 27, 2024 #21 Kinyungu said: Na kifo chake ni mafaniko ya Samia? Muache unafiki na uchawa Click to expand... Ulivyoandika ni kama ulikuwa unasubiri afe ili umnange huyo jamaa, ni sehemu ya roho mbaya za kitanzania za miaka ya karibuni.
Kinyungu said: Na kifo chake ni mafaniko ya Samia? Muache unafiki na uchawa Click to expand... Ulivyoandika ni kama ulikuwa unasubiri afe ili umnange huyo jamaa, ni sehemu ya roho mbaya za kitanzania za miaka ya karibuni.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 27, 2024 #22 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Nov 27, 2024 #23 Steven Joel Ntamusano said: Ulivyoandika ni kama ulikuwa unasubiri afe ili umnange huyo jamaa, ni sehemu ya roho mbaya za kitanzania za miaka ya karibuni. Click to expand... Tumefundishwa na ccm
Steven Joel Ntamusano said: Ulivyoandika ni kama ulikuwa unasubiri afe ili umnange huyo jamaa, ni sehemu ya roho mbaya za kitanzania za miaka ya karibuni. Click to expand... Tumefundishwa na ccm
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Nov 27, 2024 #24 evangelical said: Na kifo chake basi ni matokeo ya mafanikio ya mama samia. Click to expand... Nilipata kuyasema hivyo wakanishambulia👇 Faana said: Tayari kumekucha Yakija majanga napo sifieni basi Click to expand...
evangelical said: Na kifo chake basi ni matokeo ya mafanikio ya mama samia. Click to expand... Nilipata kuyasema hivyo wakanishambulia👇 Faana said: Tayari kumekucha Yakija majanga napo sifieni basi Click to expand...
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Nov 28, 2024 #25 Faana said: Nilipata kuyasema hivyo wakanishambulia👇 Click to expand... Watu wengine ni wa ovyo sana inabidi wabadilike waache kutoa sifa zisizistahili
Faana said: Nilipata kuyasema hivyo wakanishambulia👇 Click to expand... Watu wengine ni wa ovyo sana inabidi wabadilike waache kutoa sifa zisizistahili