TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Umemzidi akili?Huyu mzee ni mjinga sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemzidi akili?Huyu mzee ni mjinga sn
IGA inayo sehemu au kipengele chechote kinachosema "Concessional Agreement"?Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Anadhani ni kwa nini anaowaita "wapinzani" wa huo mkataba/makubaliano hawakubaliani nao?Ni kwa sababu,historia inaonesha wote waliopewa dhamana ya kuiwakilisha nchi kwenye mikataba ya awali hawajawahi kuiletea tija/manufaa nchi hii.Kwa sasa wanataka waaminiwe kwa uwezo upi?Safari hii wamekuja na nini kipya kiakili na tofauti chenye tija?Wazanaki?Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Maswali kama haya yanaonesha kabisa kuna mahali pana tatizo.IGA inayo sehemu au kipengele chechote kinachosema "Concessional Agreement"?
IGA imetamka wazi kile kinachofuatia, nacho ni kutengeneza Sheria itakayowapendelea na kurahisisha Kampuni yao ifanye kazi;Kuiparaganyisha sheria ya rasilimali!. Hakika ni hatua.
Na hatua nyingine ni Serikali ihakikishe inafanya kila kitu ndani ya uwezo wake, ukiwemo huu ujinai tunouona na kuusikia-ya wakina mwabukusi- wamasai ngorongoro, bar ya mwanza, kauli tata za wakuu wa serikali n.k.nk yote haya kufunika mjadala wa MKATABA mbovu! na kumalizia phase 1 hayo yapo kwenye IGA where does a concession come in our part? KUgawia bandari na Utu wetu? Labda, ila hatua hii haipo kimakubaliano, kuns HGA's
Ati ushamuona na ushajua mwenye kuleta posa ni Jambazi Sugu, unaachia posa, Ndugu yako anaolewa, halafu ndio uje kusema aha ah we Jambazi toka hapa, ushakula posa, sherehe ishafanyika, na honeymoon! Jambazi likuachie? Beberu?
Mfyuuuuuuuuuuu!
Pengine kelele zinazopigwa zitasaidia zaidi kwa serikali kuwa makini na hivyo vipengele ktk hatua inayofuata so wakosoaji waheshimiwe wanasaidia ku wa alert watu wa serikali kuwa makini.Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Uko sahihi, lakini kwa sasa sio hoja zenye msingi ndio zinazofanyiwa kazi, bali maamuzi ya viongozi ndio utekelezaji ulipo. Hiyo unayoita kujibizana kwa hoja na sio jazba ni kupunguza tu kiwango cha mashambulizi kwenye maamuzi mabovu.Hapa ndiyo ninapowashangaa wengi!..
Hoja hujibiwa kwa hoja tusichangie kwa jazba sana na tusitumie lugha Kali kama nguvu ya hoja zetu.
Tusiubeze usomi wa mtu yoyote ila turuhusu akili zetu kuwa wazi kujifunza au kukataa kwa hoja. Tukiweza kufanya mijadala inayoruhusu kufanya uchambuzi yakinifu "critical analysis" tutakuwa katika nafasi nzuri sana ya ujenzi wa hoja.
Hoja yoyote ile inaweza kuwa na udhaifu na uimara lakini udhaifu na uimara huo hubainishwa Kwa nguvu ya hoja nyingine na siyo vinginevyo. Uwezo wa kutawala hisia katika kupokea na kutoa hoja ni jambo muhimu sana ingawa wengi wetu (sijitoi) tuna udhaifu mkubwa eneo hilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuna wasomi wajinga sana. Najutia kufundishwa na huyu fala.
Naenda upya nikarudie digrii maana niliyo nayo nimepewa na mtu mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kawaida ya wapinzani huwa hawana hoja za msingi.
Ila bora ya wapinzani kuliko CCM
Shivji mambo ya biashara za Kimataifa na sheria zake ni yai.Wasomi wa skuiz Heshima kiduchu!!
Professor Shivji akishaongea Nchi hii wengine lazima wasikize!!
Wewe mpumbavu ficha upumbavu wako!Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Nahisi fala ni wewe, badala ya kujadili hoja unajadili mtu.Tuna wasomi wajinga sana. Najutia kufundishwa na huyu fala.
Naenda upya nikarudie digrii maana niliyo nayo nimepewa na mtu mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
MM2 huyo.Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Boss we tupe masuala ya dini na sifa za Mtume MSAW na kuhusu MOU za hosipitali na serikali. Haya mengine achana nayo maana yanahitaji fikra huru tena critical.Nahisi fala ni wewe, badala ya kujadili hoja unajadili mtu.
Sishabikii wala kuunga mkono lugha hovyo bali kwenye kumjadili mtoa hoja inatokana na hoja yake kukosa hoja hivyo yeye ndo anageuka hojaNahisi fala ni wewe, badala ya kujadili hoja unajadili mtu.
"Hoja hapo ni Azimio lililopitishwa na Bunge ndiyo mhimili Mkuu makubaliano mengine yatapaswa kuakidi Azimio hilo".Wewe mpumbavu ficha upumbavu wako!
Intergovernmental Agreement au IGA umepitishwa bungeni na kuridhiwa!
Kwa hiuo tayari ile ndio sheria mama!
Hivi vimikataba vinginevyo vitakavyofuatia ni vya kuuza vipande vipande sasa.
Lakini ule mkataba uliopitishwa bungeni ndio kama msahafu.
Likitokea lolote basi vifungu vitakavyohusika ndio vile vilivyoko humo.
Kitila ni mnyiramba mchumia tumbo yule.amelewa shibe.
IGA ipo wazi. Sheria za Umoja wa Mataifa kufatwa.Wewe mpumbavu ficha upumbavu wako!
Intergovernmental Agreement au IGA umepitishwa bungeni na kuridhiwa!
Kwa hiuo tayari ile ndio sheria mama!
Hivi vimikataba vinginevyo vitakavyofuatia ni vya kuuza vipande vipande sasa.
Lakini ule mkataba uliopitishwa bungeni ndio kama msahafu.
Likitokea lolote basi vifungu vitakavyohusika ndio vile vilivyoko humo.
Kitila ni mnyiramba mchumia tumbo yule.amelewa shibe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuna wasomi wajinga sana. Najutia kufundishwa na huyu fala.
Naenda upya nikarudie digrii maana niliyo nayo nimepewa na mtu mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ujanja katika sheria za kimataifa.Sishabikii wala kuunga mkono lugha hovyo bali kwenye kumjadili mtoa hoja inatokana na hoja yake kukosa hoja hivyo yeye ndo anageuka hoja