Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

Kama madudu yote ya makinikia na JPM, walivyotuaminisha kwamba tunawadai wazungu tilioni 400!, kumbe kanyaboya, bado unawaamini ccm, inabidi ukapimwe kichwa milembe.
Tofautisha kuelewa na kuamini ndugu.
 
Kama siyo suala la Muungano, Mbarawa na Aisha wanafanya nini pale wizarani, kwenye Wizara isiyo ya Muungano?

Ebu orodhesha hapa mambo 22 ya Muungano.
Nani huyo ameakumbia kuwa mambo ya Muungano ni 22? Mkataba wa Muungano una mambo 11 tu
 
Habari za Moto moto kutoka huko ndaani ndani kabisa Ni kwamba mkataba utasitishwa ku save face na kuepusha uhujumu bandarini, na waliochukua rushwa hata Yule wa $2.5 m wanatakiwa kurudisha.
Huyu aliyekua mwalimu wa michongo sura yake ataiweka wapi baada ya kutetea UJINGA?
Hizo zinaitwa ndoto za Ali Nacha
 
Hizo Bandari za zanzibar zikiachwa wapi? Wakati Bandari sio suala la muungano
Hata huijui katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) wewe kwa sababu hamsomi ila mnapigia kelele kwa mambo ya kulishwa tu na big fish ya CCM..

Kasome ibara ya (4) ya katiba ya JMT na nyongeza yake hii hapa 👇👇kipengere cha 11. Kisha waambiwe na wabishi wenzako huko
Screenshot_20230818-182549.png
 
Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:

Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.

Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.

Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Kama ni makubaliano ambayo hayakuonyesha maeneo mahususi Bunge limeridhia nini basi?
 
Hizo zinaitwa ndoto za Ali Nacha
Sasa mkitaka kuhakikisha kwamba hamjui. Waleteni waarabu bila kurekebisha ule mkataba.
Leo kwa Mara ya kwanza nimeona mtuhumiwa katika kesi ya UHAINI amepewa dhamana.
Na bado mtakula matapishi yenu Sana.
 
Sasa mkitaka kuhakikisha kwamba hamjui. Waleteni waarabu bila kurekebisha ule mkataba.
Leo kwa Mara ya kwanza nimeona mtuhumiwa katika kesi ya UHAINI amepewa dhamana.
Na bado mtakula matapishi yenu Sana.
Utawala wa sheria
 
Back
Top Bottom