Estone
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 622
- 630
Je bunge linaweza kujadili makubaliano, na kama ndiyo je bunge limeweka mapendekezo yoyote, ama tahadhari endapo serikali ikiingia mkataba huo?
Maelezo yake yanaeleweka vizuri kwa watu punguani.
Ni sawa na mtu anayekuambia kuwa hata kama katiba ni mbaya, subiria sheria zitakazotungwa ndio uone kama katiba ni mbaya au nzuri.
Ni ujinga wa hali ya juu kufikiria kuwa mikataba midogo itakuwa mizuri wakati mkataba mkuu ni wa hovyo. Mkataba mdogo ni lazima utii masharti ya jumla ya mkataba mkuu.