Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

Habari za Moto moto kutoka huko ndaani ndani kabisa Ni kwamba mkataba utasitishwa ku save face na kuepusha uhujumu bandarini, na waliochukua rushwa hata Yule wa $2.5 m wanatakiwa kurudisha.
Huyu aliyekua mwalimu wa michongo sura yake ataiweka wapi baada ya kutetea UJINGA?
 
IGA inayo sehemu au kipengele chechote kinachosema "Concessional Agreement"?

IGA imetamka wazi kile kinachofuatia, nacho ni kutengeneza Sheria itakayowapendelea na kurahisisha Kampuni yao ifanye kazi;Kuiparaganyisha sheria ya rasilimali!. Hakika ni hatua.

Na hatua nyingine ni Serikali ihakikishe inafanya kila kitu ndani ya uwezo wake, ukiwemo huu ujinai tunouona na kuusikia-ya wakina mwabukusi- wamasai ngorongoro, bar ya mwanza, kauli tata za wakuu wa serikali n.k.nk yote haya kufunika mjadala wa MKATABA mbovu! na kumalizia phase 1 hayo yapo kwenye IGA where does a concession come in our part? KUgawia bandari na Utu wetu? Labda, ila hatua hii haipo kimakubaliano, kuna HGA's

Ati ushamuona na ushajua mwenye kuleta posa ni Jambazi Sugu, unashika posa, Ndugu yako anaolewa, halafu ndio uje kusema 'ah' 'a' 'ah', 'wewe' Jambazi toka hapa, ushakula posa, sherehe ishafanyika, na honeymoon! Jambazi likuachie? Beberu?
Mfyuuuuuuuuuuu!
 
Anadhani ni kwa nini anaowaita "wapinzani" wa huo mkataba/makubaliano hawakubaliani nao?Ni kwa sababu,historia inaonesha wote waliopewa dhamana ya kuiwakilisha nchi kwenye mikataba ya awali hawajawahi kuiletea tija/manufaa nchi hii.Kwa sasa wanataka waaminiwe kwa uwezo upi?Safari hii wamekuja na nini kipya kiakili na tofauti chenye tija?Wazanaki?
 
Maswali kama haya yanaonesha kabisa kuna mahali pana tatizo.
 
Pengine kelele zinazopigwa zitasaidia zaidi kwa serikali kuwa makini na hivyo vipengele ktk hatua inayofuata so wakosoaji waheshimiwe wanasaidia ku wa alert watu wa serikali kuwa makini.
 
Uko sahihi, lakini kwa sasa sio hoja zenye msingi ndio zinazofanyiwa kazi, bali maamuzi ya viongozi ndio utekelezaji ulipo. Hiyo unayoita kujibizana kwa hoja na sio jazba ni kupunguza tu kiwango cha mashambulizi kwenye maamuzi mabovu.
 
Wewe mpumbavu ficha upumbavu wako!
Intergovernmental Agreement au IGA umepitishwa bungeni na kuridhiwa!
Kwa hiuo tayari ile ndio sheria mama!
Hivi vimikataba vinginevyo vitakavyofuatia ni vya kuuza vipande vipande sasa.
Lakini ule mkataba uliopitishwa bungeni ndio kama msahafu.
Likitokea lolote basi vifungu vitakavyohusika ndio vile vilivyoko humo.
Kitila ni mnyiramba mchumia tumbo yule.amelewa shibe.
 
Sema Chama changu Cha ccm tumeshafeli sahivi kwahiyo chawa wa mama Bora tulieni tu maana ukiingia mtaani hata watoto wadogo wanajua serikali ya Rais Samia imeuza Bandari kwa Waarabu. Hata hao waliokamatwa kina Dr. Slaa, Kina Mwabukusi raia wanajua ni kwasababu wamepinga uuzwaji wa Bandari. Hakuna Maneno yanaweza kubadilisha mawazo ya Watanzania zaidi ya kuamini kwamba Serikali imeuza Bandari kwa Waarabu.
 
MM2 huyo.

Walitaka kumuweka Zitto uenyekiti wa CDM kwa akili hizi hizi
 
Nahisi fala ni wewe, badala ya kujadili hoja unajadili mtu.
Boss we tupe masuala ya dini na sifa za Mtume MSAW na kuhusu MOU za hosipitali na serikali. Haya mengine achana nayo maana yanahitaji fikra huru tena critical.
 
Nahisi fala ni wewe, badala ya kujadili hoja unajadili mtu.
Sishabikii wala kuunga mkono lugha hovyo bali kwenye kumjadili mtoa hoja inatokana na hoja yake kukosa hoja hivyo yeye ndo anageuka hoja
 
"Hoja hapo ni Azimio lililopitishwa na Bunge ndiyo mhimili Mkuu makubaliano mengine yatapaswa kuakidi Azimio hilo".
Hayo mengine ya upumbavu na kuuficha sidhani kama yanaiongezea hoja yako nguvu zaidi ya kuonesha hisia tu.
 
IGA ipo wazi. Sheria za Umoja wa Mataifa kufatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…