Maelezo yake yanaeleweka vizuri kwa watu punguani.
Ni sawa na mtu anayekuambia kuwa hata kama katiba ni mbaya, subiria sheria zitakazotungwa ndio uone kama katiba ni mbaya au nzuri.
Ni ujinga wa hali ya juu kufikiria kuwa mikataba midogo itakuwa mizuri wakati mkataba mkuu ni wa hovyo. Mkataba mdogo ni lazima utii masharti ya jumla ya mkataba mkuu.

Kama madudu yote ya makinikia na JPM, walivyotuaminisha kwamba tunawadai wazungu tilioni 400!, kumbe kanyaboya, bado unawaamini ccm, inabidi ukapimwe kichwa milembe.Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Kamuulize mumeoUmemzidi akili?
Fossils of the empire: We become what we are! | JamiiForums Fossils of the empire: We become what we are!Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
CHADEMA walifanya Jambo la maana. Maana waliposhindwa kumwaka Zitto wote wakarudi CCM na kumuacha Zitto pekee yake ACT.MM2 huyo.
Walitaka kumuweka Zitto uenyekiti wa CDM kwa akili hizi hizi
Kwa hivyo kinachofutwa ni azimio la bunge au makubaliano yaliyopitishwa na bunge?. Maana naona kila siku tunachanganyana."Hoja hapo ni Azimio lililopitishwa na Bunge ndiyo mhimili Mkuu makubaliano mengine yatapaswa kuakidi Azimio hilo".
Hayo mengine ya upumbavu na kuuficha sidhani kama yanaiongezea hoja yako nguvu zaidi ya kuonesha hisia tu.
Mfumo wa kisheria wa Tanzania haufuati sheria za kimataifa. Sheria za kimataifa ndio zinaufuata mfumo wa sheria za Tanzania.IGA ipo wazi. Sheria za Umoja wa Mataifa kufatwa.
Upo ujanja bosslady.Hakuna ujanja katika sheria za kimataifa.
Ukiwa na katiba nzuri lakini sheria zikawa mbaya au katiba nzuri, sheria nzuri lakini utekelezaji mbaya, marekebisho yake ni rahisi sana.Unaweza vile vile ukawa na katiba nzuri lakini utekelezaji wake ukawa vurugu tu kama huko nchi jirani, kila siku ni vurugu na maandamano! Kwa kifupi katiba siyo jibu la moja kwa moja la maendeleo ya nchi.
Na wewe nae unataka kuwa mpumbavu kama kitila?Hapa ndiyo ninapowashangaa wengi!..
Hoja hujibiwa kwa hoja tusichangie kwa jazba sana na tusitumie lugha Kali kama nguvu ya hoja zetu.
Tusiubeze usomi wa mtu yoyote ila turuhusu akili zetu kuwa wazi kujifunza au kukataa kwa hoja. Tukiweza kufanya mijadala inayoruhusu kufanya uchambuzi yakinifu "critical analysis" tutakuwa katika nafasi nzuri sana ya ujenzi wa hoja.
Hoja yoyote ile inaweza kuwa na udhaifu na uimara lakini udhaifu na uimara huo hubainishwa Kwa nguvu ya hoja nyingine na siyo vinginevyo. Uwezo wa kutawala hisia katika kupokea na kutoa hoja ni jambo muhimu sana ingawa wengi wetu (sijitoi) tuna udhaifu mkubwa eneo hilo
Yeye ni mwanasiasa na mtu wa education kwa nini asiwaachie tu kwanza wanasheria?Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Mbona wewe unaoekana ujinga ni asli ya ukoo wenu ndugu? kaa kimya acha wanaume wachangie mada!Ujinga utakuwa umezaliwa nao wewe mwenyewe au upo kwenye DNA ya familia ya wazazi wako yaani umeurithi huo ujinga.
Maelezo yake yanaeleweka vyema kabisa.
Sema alipokuwa Chadema alikuwa Profesa mzuri na masomi mahiri! Jibuni hoja acheni ubagazaji. Sasa wewe usomi wako uko wapi kama unaacha hoja na kukimbilia mipasho!Mmoja wa maprofesa vilaza kuwahi kutokea
Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
CrapKamuulize mumeo
Mchango wa kijinga ni lazima usemwe kuwa ni wa kijinga. Profesa Kitila mwenyewe alikuwa ni sawa na huyo mchangiaji lakini kule kule Dodoma akaelimishwa vizuri sana kifungu baada ya kifungu na Hamza Johari na leo uelewa wake ndio huo umekuwa mzuri.Mbona wewe unaoekana ujinga ni asli ya ukoo wenu ndugu? kaa kimya acha wanaume wachangie mada!
Kwa hiyu waziri anathibitisha kwamba waliokamatwa ni kwa sanabu ya kukosoa kwa hisia mkataba wa bandari na DP World?Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali "Intergovernmental agreement" hatua hii haijaonesha makubaliano mahususi juu ya maeneo mahususi.
Pili, Ipo hatua fuatizi ambayo ni makubaliano mahususi "consessional agreement" hatua hii ndiyo itakayobainisha makubaliano juu ya maeneo mahususi na ndiyo itakayoonesha kwa mawanda Serikali ya Tanzania itapata nini na Kampuni husika itapata nini.
Juu ya nukta hizo mbili kulingana na majibu ya Profesa alipokuwa akihojiwa ni kama upande wa upinzani unakimbilia kupinga kabla ya kukamilika kwa hatua zote muhimu za makubaliano.
Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa wataalamu wa mikataba na Sheria za mikataba ya aina hii sauti yao imemezwa na wasemaji wengi wanaopata nafasi ya kupaza sauti mbali sana.Yeye ni mwanasiasa na mtu wa education kwa nini asiwaachie tu kwanza wanasheria?