Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

Kama madudu yote ya makinikia na JPM, walivyotuaminisha kwamba tunawadai wazungu tilioni 400!, kumbe kanyaboya, bado unawaamini ccm, inabidi ukapimwe kichwa milembe.
Tofautisha kuelewa na kuamini ndugu.
 
Kama siyo suala la Muungano, Mbarawa na Aisha wanafanya nini pale wizarani, kwenye Wizara isiyo ya Muungano?

Ebu orodhesha hapa mambo 22 ya Muungano.
Nani huyo ameakumbia kuwa mambo ya Muungano ni 22? Mkataba wa Muungano una mambo 11 tu
 
Hizo zinaitwa ndoto za Ali Nacha
 
Hizo Bandari za zanzibar zikiachwa wapi? Wakati Bandari sio suala la muungano
Hata huijui katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) wewe kwa sababu hamsomi ila mnapigia kelele kwa mambo ya kulishwa tu na big fish ya CCM..

Kasome ibara ya (4) ya katiba ya JMT na nyongeza yake hii hapa 👇👇kipengere cha 11. Kisha waambiwe na wabishi wenzako huko
 
Kama ni makubaliano ambayo hayakuonyesha maeneo mahususi Bunge limeridhia nini basi?
 
Hizo zinaitwa ndoto za Ali Nacha
Sasa mkitaka kuhakikisha kwamba hamjui. Waleteni waarabu bila kurekebisha ule mkataba.
Leo kwa Mara ya kwanza nimeona mtuhumiwa katika kesi ya UHAINI amepewa dhamana.
Na bado mtakula matapishi yenu Sana.
 
Sasa mkitaka kuhakikisha kwamba hamjui. Waleteni waarabu bila kurekebisha ule mkataba.
Leo kwa Mara ya kwanza nimeona mtuhumiwa katika kesi ya UHAINI amepewa dhamana.
Na bado mtakula matapishi yenu Sana.
Utawala wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…