Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Lakini kwa nini wasitafute muwekezaji anaeweza kuziba hilo pengo hata kwa kumpa tax holiday?Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.
Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.
“Unajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ng’o,” amesema Profesa Mkenda.
Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.
Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.
Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.
Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.
Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.
MWANANCHI
Kiwanda kinahitaji sera rafiki. Uzalishaji wa Tanzania umekabwa na tozo, kodi,na teknolojia duni mpaka unasababisha bei ya sukari zinazoagizwa ziwe nafuu sana kulinganisha na hapa kwetu.Prof ana point. Nimekuwa nikihoji mara nyingi kwa nini viwanda vya sukari havipanuliwi ili kuongeza uzalishaji? Kama tatizo ni mtaji si viende soko la hisa. Hakuna kiwanda cha sukari hata kimoja kiko kwenye soko la hisa.
Hata huu utaratibu wa kuwapa vibali vya kuagiza sukari wenye viwanda unatakiwa kuangalia upya.
Viwanda lazima vipewe malengo ya kuzalisha. Na idadi ya tani wanayoruhisiwa kuagiza ipungue kila mwaka ili kuwapa chachu ya kupanua uzalishaji. Kama mwaka huu wameagiza tani 10000 mwaka nunu yake hivyo hivyo hadi ifike 0
Hapo hapo utambue, hakuna nchi isiyokuwa na 'protectionism', kwa hiyo utambue umuhimu wake.Protectionism haijawahi kuwa na faida ya kudumu.
Tatizo la baadhi ya viwanda kuna wakati tajiri mmoja anahodhi sukari karibu yote halafu anzuia mzunguko(uuzaji) na wakti huohuo kiwanda kinasimamisha uzalishaji hivyo kufanya sukari kuadimika mtaani na ghafla bei inakuwa juu, yaani baadhi ya viwanda ni usanii mtupu. Utashangaa kiwanda kinafungwa kwa muda wakati malighafi ambayo ni miwa imejaa kibao.Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.
Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.
“Unajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ng’o,” amesema Profesa Mkenda.
Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.
Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.
Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.
Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.
Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.
MWANANCHI
Sasa kiwanda kama Mtibwa, yaani choka mbaya maboiler wanatumia kuni karne hii? Wananchi wanaozunguka kiwanda wana uwezo mkubwa wa kuzalisha maelfu ya Tani za miwa na kuuza kiwandani but kiwanda hakuna uwezo. Angalau kiwanda ambacho wako serious ni TPC Moshi, wako very modern, umeme wanazalisha wenyewe mpaka wanawagawia vijiji jirani.Prof ana point. Nimekuwa nikihoji mara nyingi kwa nini viwanda vya sukari havipanuliwi ili kuongeza uzalishaji? Kama tatizo ni mtaji si viende soko la hisa. Hakuna kiwanda cha sukari hata kimoja kiko kwenye soko la hisa.
Hata huu utaratibu wa kuwapa vibali vya kuagiza sukari wenye viwanda unatakiwa kuangalia upya.
Viwanda lazima vipewe malengo ya kuzalisha. Na idadi ya tani wanayoruhisiwa kuagiza ipungue kila mwaka ili kuwapa chachu ya kupanua uzalishaji. Kama mwaka huu wameagiza tani 10000 mwaka nunu yake hivyo hivyo hadi ifike 0
Hapo hapo utambue, hakuna nchi isiyokuwa na 'protectionism', kwa hiyo utambue umuhimu wake.
Sasa kiwanda kama Mtibwa, yaani choka mbaya maboiler wanatumia kuni karne hii? Wananchi wanaozunguka kiwanda wana uwezo mkubwa wa kuzalisha maelfu ya Tani za miwa na kuuza kiwandani but kiwanda hakuna uwezo. Angalau kiwanda ambacho wako serious ni TPC Moshi, wako very modern, umeme wanazalisha wenyewe mpaka wanawagawia vijiji jirani.
Kwa utaratibu tunaoenda nao Bashe atapewa huo uwaziri lakini Prof. Mkenda msimamo na kauli yake bado itaendelea kuwa na mashiko;Sijui kwanini Bashe huwa hapewi Uwaziri kamili.
Inafaidisha matajiri wenye viwandaHapo hapo utambue, hakuna nchi isiyokuwa na 'protectionism', kwa hiyo utambue umuhimu wake.