Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

Mwanasiada akiapa Ni Kama ushuzi tu. Ndani ya dakika mbili utakua umesahaulika.
Kwanza alishawahi kuapa mbele ya madhabahu kwamba atakaa na mke wake Hadi kifo kiwatenganishe. Je ndoa yake bado ipo?
Wanasiada Wana apa kwamba wstaitunza na kuihifadhi katiba na hawatatoa Siri za Baraza la mawaziri. Ni Mara ngapi katiba wameivuruga tukianzia na ndugu yai.
VIBALI vitatolewa na saini itakua Kama yake na sukari hata Sasa inaingizwa nyingi tu. Tena haitapitia porous borders Bali ktk bandari zetu.
He is still new in town.
 
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.

Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.

Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.

“Unajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ng’o,” amesema Profesa Mkenda.

Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.

Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.

Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.

Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.

Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.

MWANANCHI
Nafkiri ni muhimu Waziri kutoa kauli za namna hiyo,kwani aim ni viwanda viweze kupanuka na kumeet the target au kuproduce surplus, so hiyo ni challenge kwa viwanda kutekeleza azma ya serikali,sasa ulitaka waziri aongee soft words na kusema wazi kurahisisha upatikanaji wa vibali,sasa viwanda navyo si vitaendelea na business as usual,no expanssion no what.na katika kauli yake amesema sukari itaagizwa pale tu pakiwa na gap kati ya uzalishaji na demand, siyo wafanyabiashara tu wachache kwa tamaa zao kuagiza kiholela.mimi nimemuelewa hivyo, Mwendazake alishatufundisha tuwe strong katika kusimamia rasilimali na maslahi ya nchi na wananchi.
 
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.

Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka wa kilimo 2019/2020.

Amesema kumekuwa na shinikizo toka kwa wafanyabiashara wanaokwenda kuisumbua Bodi ya Sukari kutaka kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi.

“Unajua sukari ni kama dawa za kulevya, ina hela nyingi na kila mtu anataka kufanya biashara hiyo. Kuna mwaziri wa kilimo wameondoka kwa sababu ya kutoa vibali vya sukari. Mimi sitoi ng’o,” amesema Profesa Mkenda.

Amesema pamoja na fitina zinazofanywa kutaka kutolewa vibali vya sukari kwake hatotekeleza hilo.
Profesa Mkenda amesema viwanda vya sukari kwa muda mrefu vimeshindwa kupanuka viwanda vyao kuongeza uzalishaji wa sukari kwa sababu ya sukari inayoagizwa kutoka nje.

Amesema Tanzania inaagiza sukari toka Malawi, Uganda na Zambia wakati miwa mingi inazalishwa Tanzania.

Profesa Mkenda amesema kila mwaka katika bonde la Kilombero inatupwa miwa tani 350,000 huku wakulima wa Mtibwa wakiacha kulima miwa kabisa kwa sababu viwanda vya sukari uwezo wake wa uzalishaji ni mdogo na miwa ni mingi.

Amesema Serikali iliamua kupitisha sheria kwamba uagizaji wa sukari utafanywa na wenye viwanda vya sukari nchini wanazalisha kuanzia tani 10,000 na kuendelea.

Profesa Mkenda amesema uagizaji holela wa sukari umesababisha ukosefu wa ajira, ukosefu wa kodi ya Serikali na wakulima kukosa soko la miwa.

MWANANCHI
langu jicho
 
Rais wa Tanzania haongozi masikini tu anaongoza pia matajiri tunaohitaji usafiri wa ndege.

Tupo sisi matajiri tunahitaji ndege kuwahi sehemu mbalimbali.
Daladala kwetu ni ndege
 
ALIYEKUWA waziri wa Kilimo, Profesa Adolph Mkenda amesema suala la utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi litaichafua sana Serikali kwani linalenga kuua viwanda vya ndani vya sukari, ajira za watanzania, ajira wa kulima wa miwa na kupotezea nchi mapato mengi.

Leo Mkenda ameondoka wizarani Bashe amefungulia vibali vya sukari kwa marafiki zake ambao sheria inawakataa kuingiza sukari lakini kwa kiburi akaamua kufanya hivyo kwa madai kuwa watu wenye uwezo wa kumuhoji ni wa 4 tu na yeye anajua ameshawawin hawawezi kumuhoji kwenye suala la vibali vya sukari hata kama anavunja sheria

Msikilize kwa makini Profesa Mkenda hapa chini..

View: https://youtu.be/HZdOsHAO5JU?si=3X1eZ1rcRa6Ivf3x

Sehemu ya maoni kuhusu Kauli ya Profesa Mkenda..........

killa9556

2 years ago
Hongera sana Waziri wa Kilimo kwa msimamo wako hiyo ni njia moja ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda na sio ulanguzi.

https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
@EdwardSMsiro
2 years ago
Mzalendo wa kweli "Nimekusoma Waziri wangu wa Kilimo"

https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
@edgarmbehikya8150
2 years ago
Huyu ni great man. Sasa hivi hii wizara imempata mwenyewe
https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en

https://accounts.google.com/Service...p&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en

@andersonjoseph8458

2 years ago
Hivi mbona Tanzania yetu haina wazalendo kama huyu!! Nashangaa viongozi wengi hawana mzigo na nchi yao kupiga dili tuu Mungu baba yetu kutana na hawa watu

@tumsifumartine612

2 years ago
Hongera sana,Waziri mkenda kwa kuwa na msimamo na kuwa mzalendo,nyie ndio wasomi tunaowahitaji TANZANIA Mungu akulinde

Mkenda my the blood of Jesus be with you ...Proud of you Mkenda at least we have pp who are/were true to Tzn and our late president

@peterjanuary7972

2 years ago
Kila sehemu ni madiri tu! wapigaji wameegemea kila mahala jamni ninamuomba mungu asimame kutulinda wengi na viongozi wachache wenye ukweli na wenye kujari wananchi na nchi yao, na ingependeza wote viongozi wenye tamaa na mali na wenye kujari makundi ya watu wachache na kuwaache wakiangamia.. wananchi wengi tunamwomba mungu awaondoe kabisa kabisa wasiwepo nchi hii🇹🇿🇹🇿 na wasije tokea tena ndy maombi yangu kwa mungu!,
emoji_u1f64f.png
.

Ila Waziri we ni mzalendo tafadhali usiachie ngazi Kwani ndio wataornyezwa waking Januari wanaosaini mikataba mpaka kwa wahindi. Tafadhali shikilia hapohapo ma umweleweshe Mama labda alikuwa hajaambiwa undani wa jambo la sukari lilivyo TZ. Angesema sukari inunuliwe kwa kiasi fulani kulinda viwanda vyetu na baadaye isinunuliwe kabisa.

@josephmahubemaro7406

2 years ago
Waziri mkendaMimi na kuunga mkono usitoe vibariKwel wewe ulipikwa na Marehemu JPMHakika mungu ata kulinda

2

Reply
 
Back
Top Bottom