ALIYEKUWA waziri wa Kilimo, Profesa Adolph Mkenda amesema suala la utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi litaichafua sana Serikali kwani linalenga kuua viwanda vya ndani vya sukari, ajira za watanzania, ajira wa kulima wa miwa na kupotezea nchi mapato mengi.
Leo Mkenda ameondoka wizarani Bashe amefungulia vibali vya sukari kwa marafiki zake ambao sheria inawakataa kuingiza sukari lakini kwa kiburi akaamua kufanya hivyo kwa madai kuwa watu wenye uwezo wa kumuhoji ni wa 4 tu na yeye anajua ameshawawin hawawezi kumuhoji kwenye suala la vibali vya sukari hata kama anavunja sheria
Msikilize kwa makini Profesa Mkenda hapa chini..
View: https://youtu.be/HZdOsHAO5JU?si=3X1eZ1rcRa6Ivf3x
Sehemu ya maoni kuhusu Kauli ya Profesa Mkenda..........
killa9556
2 years ago
Hongera sana Waziri wa Kilimo kwa msimamo wako hiyo ni njia moja ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda na sio ulanguzi.
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
@EdwardSMsiro
2 years ago
Mzalendo wa kweli "Nimekusoma Waziri wangu wa Kilimo"
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
@edgarmbehikya8150
2 years ago
Huyu ni great man. Sasa hivi hii wizara imempata mwenyewe
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
https://accounts.google.com/ServiceLogin?service=youtube&uilel=3&passive=true&continue=https://www.youtube.com/signin?action_handle_signin=true&app=desktop&hl=en&next=%2Fwatch%3Fv%3DHZdOsHAO5JU&hl=en
@andersonjoseph8458
2 years ago
Hivi mbona Tanzania yetu haina wazalendo kama huyu!! Nashangaa viongozi wengi hawana mzigo na nchi yao kupiga dili tuu Mungu baba yetu kutana na hawa watu
@tumsifumartine612
2 years ago
Hongera sana,Waziri mkenda kwa kuwa na msimamo na kuwa mzalendo,nyie ndio wasomi tunaowahitaji TANZANIA Mungu akulinde
Mkenda my the blood of Jesus be with you ...Proud of you Mkenda at least we have pp who are/were true to Tzn and our late president
@peterjanuary7972
2 years ago
Kila sehemu ni madiri tu! wapigaji wameegemea kila mahala jamni ninamuomba mungu asimame kutulinda wengi na viongozi wachache wenye ukweli na wenye kujari wananchi na nchi yao, na ingependeza wote viongozi wenye tamaa na mali na wenye kujari makundi ya watu wachache na kuwaache wakiangamia.. wananchi wengi tunamwomba mungu awaondoe kabisa kabisa wasiwepo nchi hii🇹🇿🇹🇿 na wasije tokea tena ndy maombi yangu kwa mungu!,.![]()
Ila Waziri we ni mzalendo tafadhali usiachie ngazi Kwani ndio wataornyezwa waking Januari wanaosaini mikataba mpaka kwa wahindi. Tafadhali shikilia hapohapo ma umweleweshe Mama labda alikuwa hajaambiwa undani wa jambo la sukari lilivyo TZ. Angesema sukari inunuliwe kwa kiasi fulani kulinda viwanda vyetu na baadaye isinunuliwe kabisa.
@josephmahubemaro7406
2 years ago
Waziri mkendaMimi na kuunga mkono usitoe vibariKwel wewe ulipikwa na Marehemu JPMHakika mungu ata kulinda
2
Reply
Hivi hakuwa bungeni, mbona hakusimama kumuunga mkono mpina au hakupewa nafasi.
Wabunge wa Tanzanai huwa wanapitisha vitu bungeni na kuviunga mkono halafu wanatoka nje na kwenda kuvikandia.