Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa ndiyo CCM kindakinda wanatoa rushwa haswaKunaku
Kuna hawa wahindi koo zao zimegawana biashara za kuagiza bidhaa kutoka nje. Kuna wasukari, kuna wa ngano, kuna wa mchele. Watahujumu hatua zozote za uzalishaji wa ndani. Rais aanze kumtema badhe.
Huyo rais mwenyewe unamwonaje wewe?Kunaku
Kuna hawa wahindi koo zao zimegawana biashara za kuagiza bidhaa kutoka nje. Kuna wasukari, kuna wa ngano, kuna wa mchele. Watahujumu hatua zozote za uzalishaji wa ndani. Rais aanze kumtema bashe kushindwa kusimamia.
Msomali ametembeza rushwa mpka aibuππππ Kazi ipo!
Huyu ndiyo tatizo no 1Huyo rais mwenyewe unamwonaje wewe?
Hawa wameteka chama baada ya magufuli kufa. Hawa kina samia nchimbi kinana ndio wasaliti wa ccm isiyoyumba kwenye misimamo yake ya haki na usawa. Wahindi na kila wapigaji ndio wenye ccm sasa. 2025 kuna kazi kukomboa ccm irudie wananchi ama sivyo itabidi wapenda haki na usawa kuhama.Hawa ndiyo CCM kindakinda wanatoa rushwa haswa
Majangili yote yamerudi kwenye system na yamaikamataHawa wameteka chama baada ya magufuli kufa. Hawa kina samia nchimbi kinana ndio wasaliti wa ccm isiyoyumba kwenye misimamo yake ya haki na usawa. Wahindi na kila wapigaji ndio wenye ccm sasa. 2025 kuna kazi kukomboa ccm irudie wananchi ama sivyo itabidi wapenda haki na usawa kuhama.
Mapacha wanne wamo ndani(JK, Rostam, Makamba na Abdul) ndiyo maana yupo kimyaSukari sukari sukari!! Chura nae yumo ndio maana.
KAZI ni kipimo cha UTU