Kama ni vyanzo vingi then kwani maji siyo miongoni mwa hivyo vingi? Kwa sasa si tunzo hizo kinyerezi and so? Je zina bei gani kwa unit as compared to hizo za maji?nimemuelewa sana prof. nyie mnaompinga toeni hoja yeye amesisitiza lazima tuwe na vyanzo vingi vya nishati sio maji tu.
Harudi tenaaaa hata ukijiteteaje kaondoka harudi tenaaaaaaaaaaOngea tu kiswahili bana ! Kiingereza hujui!
"He is gone"× ?!!!!!!! ni " He has gone"√
Gesi ndio chanzo bora zaidi mnakataaje ukweli?Kama ni vyanzo vingi then kwani maji siyo miongoni mwa hivyo vingi? Kwa sasa si tunzo hizo kinyerezi and so? Je zina bei gani kwa unit as compared to hizo za maji?
Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases, ukishaipata mkuu inatoka yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.Its like comparing mangoes to oranges.., after intial investment the maintanance / running costs of fibre and Posts might be nearly the same; but in the case of HEP and continously gas extration we might have a clear wiinner.., thus HEP beinge cheaper...
Umeangalia portfolio ya TANESCO, they make a lot of profit out of usYou can.t lower the costs lower than production costs unless otherwise utajikuta kama TTCL kuendesha kampuni kwa Hasara
Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?
Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?
Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?
Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.
Si bora hata huyu mama anatoa nafasi hiyo ya kushauliwa!!kwani anaweza akakubali au kukataa, lakini yule shujaa wenu aliyekuwa anajifanya kila kitu anakijua si ndio ametufikisha hapa??kweli inawezekana vipi upembuzi yakinifu wa mradi wa mwaka 70, ndio uutumie huo huo miaka 50 badaye???umemsikia leo msemaji wa ATCL, kuwa safari za ndege kwenda chato kibiashara ni hasara?!!SSH ni dhaifu ndio maana majizi yote yapo busy kumshauri, ukiona mtu anakushauri ujinga kwa uhuru kabisa ujue anadharau uwezo wa akili. Tutegemee EPA, ESCROW , RICHMOND, IPTL na mengineyo mengi ndani ya hii miaka ya huyu mama.
Inatoka halafu??? Hujui kazi ya LNG plant??? LNG. Plant ya Lindi ni zaidi 30bn USD ...Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases,ukishaipata mkuu inatoks yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.
Gas ni yetu na tuna uwezo wa kuchimba na kuzalisha wenyewe na tumeshafanya majaribio tukaweza na muda si mrefu sisi tutamiliki visima vyetu vya gesi bila wageni kuingilia kati...just watch and seeIts asking a lot for goverment to try and lower costs on something which we need to import and we don't produce / extract
Ahsante kwa kuijua LNG, umeona portifolio ya commercial ya hiyo LNG its profitable for the country and the investorsInatoka halafu ??? Hujui kazi ya LNG plant ??? LNG. plant ya Lindi ni zaidi 30bn USD ...
Kwanini hatujafanya /hatukufanya? Na tuna Gesi kiasi gani cha kutupa GW ngapi kwa vizazi vingapi.. (Sababu kama ipo ya kutosha ni busara itumike)Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases,ukishaipata mkuu inatoks yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.
Ajabu sanaHawa wanafikiri kuwa viongozi basi ndio wamewazidi akili watu wote.
Unaweza ku phase out matumizi ya nishati ya mafuta hivi karibuni, nchi hizi za ulimwengu wa tatu!? Wee jamaa utakuwa kilaza sana. Kwa taarifa yako mafuta mazito kama dizeli yataendelea kutumika kuendesha magari na mitambo mikubwa kwa nchi za ulaya kwa miaka mingi sana ijayo na nishati ya gesi itachangia asilimia kubwa kwenye nishati kote barani ulaya kwa miaka mingi zaidi. Unaelewa karibia asilimia mia ya nyumba kwenye nchi zilizoendelea zimewekewa installation ya gesi kwa ajili ya kupikia sambamba na umeme na maji.....Sasa unakubali kuwa amedanganya kuwa mafuta ndiyo technology ya sasa?
Oneni aibu basi, mafisadi wakubwa!
Unamwamini Muhongo anachokisema? Muhongo ni mtaalamu wa miamba na si umeme.Leo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.
Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana
Hydropower remains the lowest-cost source of electricity globally - Factor This™
At US$0.05/kWh, hydroelectricity remains the lowest-cost source of electricity worldwide, according to a recent report by the International Renewable Energy Agency, entitled Renewable Power Generation Costs in 2017.www.hydroreview.com
Tangu lini power plants zimepunga matumizi ya nishati? Wanaupunguza matumizi ni watumiaji na wasambazaji (kwa kuongeza efficiency). Labda unamaanisha deficit?Atuambie kwanini uwepo wa Kinyerezi plants haujapunguza maumizu yetu na yeye alikuwa waziri huko? hatumwamini kwakuwa ana ndimi nyingi sana huyo
Leo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.
Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana
Hydropower remains the lowest-cost source of electricity globally - Factor This™
At US$0.05/kWh, hydroelectricity remains the lowest-cost source of electricity worldwide, according to a recent report by the International Renewable Energy Agency, entitled Renewable Power Generation Costs in 2017.www.hydroreview.com
Anataka tuwe passengers.Gas alishauziwa mchina tuna chini ya asilimia 40 kwenye gas yetu anachotaka huyu mpuuzi ni tuingie mikataba na wachina watuuzie gas YETU naona ashaitwa pembeni na macho kengeza ...GAS TULISHALIWA KICHWA KITAAAMBO
Kuruhusu mawazo tofauti tofauti ni udhaifu? Au kufata yale ya JPM tu ndo ujasiri?SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.