Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

nimemuelewa sana prof. nyie mnaompinga toeni hoja yeye amesisitiza lazima tuwe na vyanzo vingi vya nishati sio maji tu.
Kama ni vyanzo vingi then kwani maji siyo miongoni mwa hivyo vingi? Kwa sasa si tunzo hizo kinyerezi and so? Je zina bei gani kwa unit as compared to hizo za maji?
 
Kama ni vyanzo vingi then kwani maji siyo miongoni mwa hivyo vingi? Kwa sasa si tunzo hizo kinyerezi and so? Je zina bei gani kwa unit as compared to hizo za maji?
Gesi ndio chanzo bora zaidi mnakataaje ukweli?
 
Its like comparing mangoes to oranges.., after intial investment the maintanance / running costs of fibre and Posts might be nearly the same; but in the case of HEP and continously gas extration we might have a clear wiinner.., thus HEP beinge cheaper...
Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases, ukishaipata mkuu inatoka yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.
 
Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?

Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?

Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?

Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.

Mkuu I gues kuna watu wameapa Kuukwamisha Kwa Udi wa Shetani Mradi wa Umeme Ukwame kwa njia za Kisayansi ki Audit kuwa eti Feasibility study ni ya 1972!

Na Inaonekana wameapa LAZIMA wafanikiwe either kushawishi Gas itumike au Kusema Serikalli haina Fedha au Sababu yoyote! Dalili kama zinaonyesha hillo.
 
SSH ni dhaifu ndio maana majizi yote yapo busy kumshauri, ukiona mtu anakushauri ujinga kwa uhuru kabisa ujue anadharau uwezo wa akili. Tutegemee EPA, ESCROW , RICHMOND, IPTL na mengineyo mengi ndani ya hii miaka ya huyu mama.
Si bora hata huyu mama anatoa nafasi hiyo ya kushauliwa!!kwani anaweza akakubali au kukataa, lakini yule shujaa wenu aliyekuwa anajifanya kila kitu anakijua si ndio ametufikisha hapa??kweli inawezekana vipi upembuzi yakinifu wa mradi wa mwaka 70, ndio uutumie huo huo miaka 50 badaye???umemsikia leo msemaji wa ATCL, kuwa safari za ndege kwenda chato kibiashara ni hasara?!!
 
Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases,ukishaipata mkuu inatoks yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.
Inatoka halafu??? Hujui kazi ya LNG plant??? LNG. Plant ya Lindi ni zaidi 30bn USD ...
 
Its asking a lot for goverment to try and lower costs on something which we need to import and we don't produce / extract
Gas ni yetu na tuna uwezo wa kuchimba na kuzalisha wenyewe na tumeshafanya majaribio tukaweza na muda si mrefu sisi tutamiliki visima vyetu vya gesi bila wageni kuingilia kati...just watch and see
 
Gas kuifanyia utafiti ndo gharama initial phases,ukishaipata mkuu inatoks yenyewe ardhini kuingia kwenye bomba yaani hata wafanyakazi wanabaki chini ya kumi kufanya monitoring basi.
Kwanini hatujafanya /hatukufanya? Na tuna Gesi kiasi gani cha kutupa GW ngapi kwa vizazi vingapi.. (Sababu kama ipo ya kutosha ni busara itumike)

Point yangu ninayopinga ni kupitwa na wakati kwa HEP (as far as I know theoretically HEP inaweza kuendelea mpaka mwisho wa dunia) Natural Gas haina uwezo huo (Labda Biogas)
 
Sasa unakubali kuwa amedanganya kuwa mafuta ndiyo technology ya sasa?

Oneni aibu basi, mafisadi wakubwa!
Unaweza ku phase out matumizi ya nishati ya mafuta hivi karibuni, nchi hizi za ulimwengu wa tatu!? Wee jamaa utakuwa kilaza sana. Kwa taarifa yako mafuta mazito kama dizeli yataendelea kutumika kuendesha magari na mitambo mikubwa kwa nchi za ulaya kwa miaka mingi sana ijayo na nishati ya gesi itachangia asilimia kubwa kwenye nishati kote barani ulaya kwa miaka mingi zaidi. Unaelewa karibia asilimia mia ya nyumba kwenye nchi zilizoendelea zimewekewa installation ya gesi kwa ajili ya kupikia sambamba na umeme na maji.....
 
Leo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.

Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.

Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana

Unamwamini Muhongo anachokisema? Muhongo ni mtaalamu wa miamba na si umeme.
 
Atuambie kwanini uwepo wa Kinyerezi plants haujapunguza maumizu yetu na yeye alikuwa waziri huko? hatumwamini kwakuwa ana ndimi nyingi sana huyo
Tangu lini power plants zimepunga matumizi ya nishati? Wanaupunguza matumizi ni watumiaji na wasambazaji (kwa kuongeza efficiency). Labda unamaanisha deficit?

Amandla...
 
Leo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.

Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.

Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana

Screenshot_20210409_230213.jpg

Hydroelectric power ndio habari ya mjini, hivi Mhongo amesomea Mambo ya umeme au miamba
 
Gas alishauziwa mchina tuna chini ya asilimia 40 kwenye gas yetu anachotaka huyu mpuuzi ni tuingie mikataba na wachina watuuzie gas YETU naona ashaitwa pembeni na macho kengeza ...GAS TULISHALIWA KICHWA KITAAAMBO
Anataka tuwe passengers.
 
SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.
Kuruhusu mawazo tofauti tofauti ni udhaifu? Au kufata yale ya JPM tu ndo ujasiri?
 
Back
Top Bottom