Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Magufuli hakukosea kusema baadhi ya Maprof ni wa hovyoPia asisahau kumuuliza kuwa, alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa Rusumo hakujua kuwa umeme wa maji umepitwa na wakati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hakukosea kusema baadhi ya Maprof ni wa hovyoPia asisahau kumuuliza kuwa, alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa Rusumo hakujua kuwa umeme wa maji umepitwa na wakati?
Hii inahusiana nini na thread?Mwendazake urais na nchi ulimshinda kabisa. At least he is gone forever and never come. Sasa tumebaki kutafuta hela kwa utash.
Hasikiki siku hizi sijui yu wapiWamemuita aje, ngoja tumsubiri.
Hilo la kuwa na Cv ya juu ndio justification ya kuongea upuuzi na kutetea ufisadi? Lini HEP imepitwa na wakati?Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Gesi si walishaiuza kwa mabeberu zile dk za mwisho, kwenye mswaada uliopitishwa usiku usiku kule bungeni, kwa LAZIMA kubwa toka nyumba kuu! Yeye akiwa mmojawapo, sasa ni muda wa kuilazimisha kutumia gesi kuzalisha umeme ili nchi iwe mteja wa mabeberu kwa kununua gesi kwao ambayo ilikuwa yetu kabla hawajaiuza, kisha nchi itaendelea kununua mitambo na vipuri vya mashine za kutumia gesi kutoka kwao, wapiga filimbi wao wakipewa kagawiwo kao kwa kuwezesha biashara hiyo.Usisahau kumuuliza swali
Kinyerezi kuna mitambo ya umeme wa gas iliyojengwa wakati wa uwaziri wake, je imetupunguzia gharama kwa kiasi gani hadi sasa?
Ni kwamba kaenda zake kiroho safi NA HATARUDI TENAAAAAA.Hii inahusiana nini na thread?
Na cha ajabu atakuja humu mitandaoni na kuzoa kila hoja kisha kuifanyia kazi. Kazi ipo.SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.
Nimemshangaa huyu mzeeMuhongo analeta mbwembwe na kujifanya anajua kila kitu ili mama ampe wizara
Aende kufanya udalali kama zamani...
Ni dalali mkubwa sana wa private investors..
Anazungumzia faida wakati wenzie tunazungumzia huduma
Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Muhongo na muheshimu sana kwa taaluma yake ila Huwezi ukachagua Chanzo chochote cha umeme zaidi ya maji kama lengo ni unafuu.Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Kuna mijitu imerukwa na akili, maana kusoma kote kule kimemfanya mjinga. Kazi lazima iendeleeKwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Tusi-attack personalities wala tusiangalie ni nani kasema au ana ufahamu kiasi gani. Tuangalie faida na hasara na viability ya project husika (kama mvua hazitaacha kunyesha) umeme wa maji utavuna to infinity....Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Hana vision, tunaelewa hakujiandaa wala kutegemea kuwa Rais, basi atulie kabla ya kuanza kuropoka ropoka.Na cha ajabu atakuja humu mitandaoni na kuzoa kila hoja kisha kuifanyia kazi. Kazi ipo.
Binafsi nina imani na mama na naamini Rais akifanikiwa Nchi imefanikiwa...Ila nilichoona watu wanaanza kumshauri sana kwa sababu anapokea ushauriSSH ni dhaifu ndio maana majizi yote yapo busy kumshauri, ukiona mtu anakushauri ujinga kwa uhuru kabisa ujue anadharau uwezo wa akili. Tutegemee EPA, ESCROW , RICHMOND, IPTL na mengineyo mengi ndani ya hii miaka ya huyu mama.
Hii ni dalili mafisadi wote hawamuogopi SSH, wote wanajaribu kumshauri ujinga tena waziwazi, hiyo ni dalili ya dharau ya uwezo wake, jana Ndugai kaja na ya bandari ya Bagamoyo, leo tunaambiwa umeme wa maji gharama, kesho tutasikia ujinga mwingine kutoka kwa dalali wa the so called “investors”.Wewe humjui MUHONGO...
UNLESS uwe umelipwa kuja kumuombea cheo Kwa mama...
Muhongo anazungumzia private investors..
Na private power producers na profit..
Haya mambo yatasababisha Umeme upande mara 20
Muhongo ni mtu hatari sana na wa kuogopwa kama ukoma