Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Maccm mnavyopopoana sisi tuajionea burdani tosha, na huku dhalim hatunaye tena,raha tupu.
 
Uranium 1gram inatoa 1 Megawatt licha ya uwezo mkubwa wa Uranium kutoa nishati kubwa kiasi hiki Mataifa makubwa hayazalishi umeme mwingi kwa Uranium badala yake wanawekeza sana kwenye Hydropower
Naam Uranium ndio most efficient source of energy..., ila tatizo nchi nyingi hazitumii / hazipendi kutumia sababu ya wastes zinazobaki / sumu ni kazi sana kuzi-dispose.., kwahio kwa mazingira sio salama..., ila Hydro ndio mpango mzima....
 
Prof Muhongo ni poyoyo!
Simkubali sana Magufuli kwa faulo alizo zifanya lakini kwa hili la umeme alilipatia vizuri.

Umeme siyo fashion.
Hoover Hydropower Dam ya Marekani iliyojengwa na kumalizika mwaka 1933 na mpaka leo linatoa umeme tena mdogo kidogo kuliko la Rufiji.
Hoover Dam 2080MW
La kwetu litakuwa 2115MW

Muhongo tunajua ana bifu na Magufuli asiliingize bifu kwenye umeme.
 

Sio kweli. Umeme hauzalishwi kwa njia moja tu. Diversification ni muhimu.
Shida ya Prof amesema bila kuwa na back up ya anavyosema. Ametudanganya
 
Sisi wananchi tumekubali mnaomtukana JPM mtukaneni hadi hasira zenu za kunyimwa upigaji ziishe, mkimaliza uzeni SGR, simamisheni JKNHP, bomoeni sekondary zilizojengwa, bomoeni hospital za Wilaya na mikoa zilizojengwa, futeni elimu bure wazi walipe, vunjeni masoko yaliyojengwa, bomoeni stand zilizojengwa, Vunjeni radar tano zilizojengwa ktk viwanja vya ndege. Mkimaliza futeni mikopo ya wanafunzi vyuoni vikuu. Baada ya hapo vunjeni mshikamano ndani ya ccm.Halafu leteni wawekezaji muwakodishe migodi yote
 
Hivi Ethiopia na Misri ule mgogoro umeisha

Gesi tunayo Maji nayo bwelelee sasa nikuangali gharama za ujenzi na enviromental impact ya ya hiyo miradi miwili
Mgogoro huo hauwezi kuisha..., Nile ni lifeline ya Taifa la Misri, kuzuia maji / kuyapunguza yasifike huko ni kama kuwauwa..., Busara ingetumika Ethiopia kutafuta other sources ama sivyo Mgogoro huu una-potential ya kuendelea vizazi na vizazi
 
Lisukuma lenzangu linapayuka hovyo hovyo! Hujamwelewa professor alichomaanisha!
 

Prof anadanganya. Thermal plants including gas ones, are known for being expensive in maintaining them.
Hydro power plants initial cost is massive. Running cost is very cost effective.
Prof Muhongo au Prof Muongo? Muda utaongea
 
Tuvunje vitu tulivyojenga kwa kodi zetu ? Wewe jamaa wa wapi JPM alitoa percent ngapi kwenye mshahara wake kujenga hivi vitu ?

Tatizo la kutokushauriana na kuweka vitu wazi huenda ndio vinatufikisha hapa..., Huyu anajenga hiki, huyu akija anasema hakina tija..., huyu anapeleka miradi kibao kwao, sababu tu eti atazikwa huko... (Hakuna Miradi ya Mtu..., Kuna Miradi ya Watanzania)
 
Muhongo analeta mbwembwe na kujifanya anajua kila kitu ili mama ampe wizara
Aende kufanya udalali kama zamani...

Ni dalali mkubwa sana wa private investors..

Anazungumzia faida wakati wenzie tunazungumzia huduma

Huyu jamaa anamdalalia mtu auze gas power plant. Escrow hela zimeshakata
 
Nchi gani inafanya kazi na mhongo kama independent consultant? Labda Somalia ama South Sudan.

Muhongo ni msomi wa makaratasi tu hana kitu anachokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…