Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Enzi ya gas yetu kuuzwa huyu si ndo alikuwa waziri wa nishati na madini?
Na aliwakatalia katakata wazawa akiwemo Mengi kushiriki kwenye uchimbaji wa gesi; nakumbuka waliunda kamouni ya swala lakini aliwawekea vigingi.

Nchi hii hakika tumelogwa.
 
Takwimu zinategemea na uwepo wa mito katika nchi husika. Brazil ni 65% maji
 
Niwakati taifa liwe na sera inayofuatwa na kila Rais. Kikwete na Nduguye Muhongo walisema sera sasa ni umeme wa gas.
Magufuli na Ndugule Kalemani wakatukarudisha kwenye hydropower/maji.

Muhongo ambaye ni geologists alisema umeme wa maji umepitwa na wakati.

Magufuli akasema umeme wa maji ndio nafuu.

Naona dalili za Samia S kuja ni kona nyingine. Usishangae akaja na umeme wa nyukilia. Maana hata majirani zetu wameanza study ya umeme wa Nyukilia.

Nimeona huko dunia kila nchi inachanzo chake kikubwa cha umeme ikitegemea na geography na raslimali zake.

China wao makaa ya mawe ndo kubwa.

Maifa ya arabia wao ni mafuta.

Brazil wanamito mingi wao umeme wanapata kwa maji.

Tanzania je?
 
Badala ya kujibu hoja na kutoa ufafanuzi we unampamba mtu[emoji1][emoji1]
Nchi hii kuna watu wengi tu wamesoma jiologia huyo hana exceptional yeyote. Mtu anweza akawa msomi lakini kwa Tanzania ingekuwa heri zaidi kama asingezaliwa.
 
Professor Wa Kugandisha Gas Ikawa Kama Uji Ni Wa Kupuuzwa Tu Hasa Ukizingitia Ni Wale Wa Vyeti
 
Mkuu

Unamfahamu nyoka aina ya 'KOBOKO'? hata nyoka aina ya Kobra, Kifutu au Chatu wanamgwaya ile mbaya maana anauwezo wa kuua viumbe hai zaidi ya ishirini na tano kwa mfululizo bila kukata sumu yake. Wakigundua yupo karibu wanajificha kwenye mashimo ya vichuguu nk.

Majini na majoka yote yaliyokuwa kifungoni ndani ya chupa na kutupwa baharini, leo mvuvi mmoja huyo kavua samaki na takataka zingine zikiwemo chupa zenye vizibo akaja nazo pwani akazitupa kwenye matumbawe ufukweni, mara anashangaa kuona moshi unafuka kutokea humo huku ukitoa sauti za lawama aliyetufungia humu atatukoma, hivyo ndivyo inavyotokea sasa.

Wajuaji wote unaowafahamu waliufyata mkia enzi za hayati, baada ya kupita wanajitokeza hadharani kumlaani, kumlaumu na kumhukumu aisye na uwezo wa kujitetea. Kiongozi mnafiki, mwoga na laghai wa jinsi hii hafai kuaminiwa kwa chochote. Historia za utendaji wao wa kazi zinawasuta
 
Lengo la 2025 ni 6000MW tukifika ndio tuanze na Energy mix zingine
 
Binafsi members wa chama tawala nawaona kama mashetani mie nimekata tamaa
 
Kwa hiyo hydro electric power umepitwa na wakati???
 
Ulimsikiloza vizuri? Amesema Kuwepo na energy mix hao US na China wana hydro lakini wana wind turbines, Geothermal, Coal, Gesi, n.k. na ndio alichoshauri.
 
Angehukumiwa kesi ya escrow ikiisha.
 
SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.
Sasa unataka kumlinganisha Rais na mambo ya kijinga ya akina wewe na Jiwe?
 
Ethiopia nao wanajenga bwawa nao wamepitwa na wakati kwa mujibu wa Muhongo
 
Nakazi kidogo. Ni mtu wa ajabu sana anaweza kujenga mradi mkubwa kama ule kwa kutumia feasibility study ya miaka 50 iliyopita. Prof. Muhongo ni mtu smart aliyejikuta anafanya kazi kwenye nchi alizoita Trump jina lile.
 
Watu wameona anapokea kila ujinga, hana msimamo ndio maana kila mtu anaropoka chochote, wanaamini wana uwezo wa kumsukuma tu kwa kelele za nje.
Mama ni Rais wa watu wote hata wajinga na wapumbavu wote ni wake ana wajibu wa kuwasikiliza kwani pamoja na changamoto zao wanacho Cha kuchangia kwani Mungu siyo kuna kitu amewapa.
 
Hivi CV yake inaeleza alivyokataliwa na mke wake na siku hizi hajulikani anaishi wapi! Baada ya hayo ndo najua kwamba CV ni ya huko darasani. siyo kwenye miradi ya umeme wakati ulisomea jiolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…