Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Ongea tu kiswahili bana ! Kiingereza hujui!Mwendazake urais na nchi ulimshinda kabisa. At least he is gone forever and never come. Sasa tumebaki kutafuta hela kwa utash.
NAwe pia nikuulize; Ni smart wapi? Anavaa vizuri, ananyoa vizuri, au kitu gani?Nakazi kidogo. Ni mtu wa ajabu sana anaweza kujenga mradi mkubwa kama ule kwa kutumia feasibility study ya miaka 50 iliyopita. Prof. Muhongo ni mtu smart aliyejikuta anafanya kazi kwenye nchi alizoita Trump jina lile.
SijakuelewaHakuna nch inatuapa umeme wa solar hata kwa asilimia 20 tu ya mahitaji
Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?
Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?
Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?
Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.
Hivi CV yake inaeleza alivyokataliwa na mke wake na siku hizi hajulikani anaishi wapi! Baada ya hayo ndo najua kwamba CV ni ya huko darasani. siyo kwenye miradi ya umeme wakati ulisomea jiolojia.
Mkuu juzi kulikuwa na kikao gani vile kati ya Ethiopia na Egypt na kikavunjika? Kilihusu Ethiopia kujenga nini vile hadi Egypt kakasirika?Duniani kote mabwawa yanajengwa. China, Ethiopia, Uganda, Brazil etc. Hawa wanajiita wasomi ndiyo wamefanya hadi leo tupo kwenye umaskini. Si wakusikilizwa.
Siyo majungu hoja aliyo toa inashangaza sana - kuna jamaa hapa kamu hoji Prof swali zuri tu kwamba anataka kuileza Dunia kwamba Wachina waliojenga a five gorge project ya kuzalisha umeme wa kukidhi mahitaji ya Taifa lao kubwa lenye viwanda chungu nzima kwa nini wali prefer hydroelectric to gas or nuclear ,je Ethiopia na Uganda wote wamejenga DAMS kwenye mto wa Nile kwa lengo la kuzalisha umeme,kwa nini sisi tuwe tofauti.Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.
Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.
Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Kwahiyo mlitaka mpaka wasukuma mujue kichimba gesi ndio muanze michakato ya LNG?? Mlikuwa mna mpango wa kujinehemesha tu sukumas sio?Ameshapitisha vibali vya kazi vitolewa kama karanga, ameshaonesha yupo tayari mkataba wowote kwenye LNG Lindi, kwenye Hellium gas, unataka kuona nini kuwa ameshawishiwa ujinga na kukubali ?
Dunia nzima haina maji ya kuzalisha umeme...., Nuclear disposing ya wastes ni tatizo, gas sio renewable na solar inahitaji storage (ambayo bado is not up to standard)Dunia nzima inaenda kwenye nuclear, gas na solar. Sisi bado tumegomea kwenye maji
Umetumia vizuri fasihi.Mkuu
Unamfahamu nyoka aina ya 'KOBOKO'? hata nyoka aina ya Kobra, Kifutu au Chatu wanamgwaya ile mbaya maana anauwezo wa kuua viumbe hai zaidi ya ishirini na tano kwa mfululizo bila kukata sumu yake. Wakigundua yupo karibu wanajificha kwenye mashimo ya vichuguu nk.
Majini na majoka yote yaliyokuwa kifungoni ndani ya chupa na kutupwa baharini, leo mvuvi mmoja huyo kavua samaki na takataka zingine zikiwemo chupa zenye vizibo akaja nazo pwani akazitupa kwenye matumbawe ufukweni, mara anashangaa kuona moshi unafuka kutokea humo huku ukitoa sauti za lawama aliyetufungia humu atatukoma, hivyo ndivyo inavyotokea sasa.
Wajuaji wote unaowafahamu waliufyata mkia enzi za hayati, baada ya kupita wanajitokeza hadharani kumlaani, kumlaumu na kumhukumu aisye na uwezo wa kujitetea. Kiongozi mnafiki, mwoga na laghai wa jinsi hii hafai kuaminiwa kwa chochote. Historia za utendaji wao wa kazi zinawasuta
UNa ajira yoyote nchi hii au unatumaini kuajiliwa?Ni kwamba kaenda zake kiroho safi NA HATARUDI TENAAAAAA.
PERIOD!
Nimeisikiliza hotuba yote ya Muhongo leo. Hakuna popote aliposhauri kuwa mradi wa bwawa la umeme la Nyerere haufai au uachwe. Na watu wengi humu wamerukia kumlaumu hata bila kujua alichosema. Amesema kuwa umeme wa maji kwa ujumla wake hautabiriki kwa sababu ya kutegemea mvua na kuathiriwa na shughuli zingine za binadamu. Kinachotakiwa ni kuendeleza vyanzo vyote vya umeme, ikiwemo gasi asilia ambayo inaonekana kutelekezwa. Rudi ukamsikilize tena.Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati?
Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila namna wanapojenga Hydropower stations au kuendelea kutumia HEP kuzalisha umeme ni watu wasio na uelewa wa mambo?
Lini ilishawahi kutokea kupata nishati kama umeme ikawa ni fasheni ya kudai HEP imepitwa na wakati na sasa tutumie gas? Au unaleta dharau zako?
Hasira za wewe kufukuzwa uwaziri kisa tu ulishazoea kupiga madili makuwa hapo wizara ya nishati isiwe sababu ya kutuharibia mipango ya kukamilisha JNHPP. Kaaa kimya uendelee kutafuna posho za Escrow.
KWa hiyo wote sisi ni hovyo na Muhongo wako au? Usirudie kusifu dume zima bila sababu. MWenzio analilia bila kujua alale wapi, wewe unasifu kichwa chake.Mbona nawe pia Umeachika na husemi?
Misri wanataka kutuma midege ya jeshi kuja kuokoa maji yao! Kwa kubomoa bwawa!Hivi Ethiopia na Misri ule mgogoro umeisha
Gesi tunayo Maji nayo bwelelee sasa nikuangali gharama za ujenzi na enviromental impact ya ya hiyo miradi miwili