Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Wrong examples. Nchi zote hizo zimetumia mabavu kulazimisha hiyo miradi. Profesa yuko sahihi.

Amandla...
Atuambie kwanini uwepo wa Kinyerezi plants haujapunguza maumizu yetu na yeye alikuwa waziri huko? Hatumwamini kwakuwa ana ndimi nyingi sana huyo
 
Anaesema Umeme wa Maji umepitwa na wakati atafute mataahira wa kuwaambia huo utahira

China week hii wameanza kujaza Maji kwenye bwawa linaloenda kuwa the second largest hydroelectric dam in their country!

Halafu atuambie umeme upi ni nafuu zaidi ya Umeme wa Maji kati ya
Gas
Nyuklia
Mafuta
Solar
Upepo
Joto ardhi

Ukisema mabadiliko ya Tabia nchi hii ni Janga la kidunia ambalo dunia nzima inakabiliana nalo polepole
Muhimu kwetu ni kutunza Mazingira na vyanzo vya Maji ili kunufaika na mradi huo kwa miaka mingi ijayo!
Wasilete kuturudisha utumwani kwenye siasa za udalali za IPTL ,Symbion ,Aggreko ,Richmond,nk
 
Wrong examples. Nchi zote hizo zimetumia mabavu kulazimisha hiyo miradi. Profesa yuko sahihi.

Amandla...
Atuambie kwanini uwepo wa Kinyerezi plants haujapunguza maumizu yetu na yeye alikuwa waziri huko? hatumwamini kwakuwa ana ndimi nyingi sana huyo
 
Ni ushenzi mkubwa kufyeka miti hekta milioni mbili kwa ajili ya mradi wa maji ambao ungeweza kutekelezwa kwingineko bila kuharibu Eneo la hifadhi ya dunia
Hivi hii feasibility study ya mwaka 70 ndo iliamuru miti mil. 2 ifyekwe, such an obsolete feasibility study....
 
Anaesema Umeme wa Maji umepitwa na wakati atafute mataahira wa kuwaambia huo utahira

China week hii wameanza kujaza Maji kwenye bwawa linaloenda kuwa the second largest hydroelectric dam in their country!

Halafu atuambie umeme upi ni nafuu zaidi ya Umeme wa Maji kati ya
Gas
Nyuklia
Mafuta
Solar
Upepo
Joto ardhi

Ukisema mabadiliko ya Tabia nchi hii ni Janga la kidunia ambalo dunia nzima inakabiliana nalo polepole
Muhimu kwetu ni kutunza Mazingira na vyanzo vya Maji ili kunufaika na mradi huo kwa miaka mingi ijayo!
Wasilete kuturudisha utumwani kwenye siasa za udalali za IPTL ,Symbion ,Aggreko ,Richmond,nk
They made a lot of money, nahisi wanataka kutufanya wapumbavu wa kudumu
 
Duniani kote mabwawa yanajengwa. China, Ethiopia, Uganda, Brazil etc. Hawa wanajiita wasomi ndiyo wamefanya hadi leo tupo kwenye umaskini. Si wakusikilizwa.
Si wakuwasikiliza tena!!
 
Leo nimeshituka kusikia maneno ya Professor Muongo (Mtaalamu wa Nishati) akisema umeme wa Maji sasa Umepitwa na wakati na Uchumi ni Umeme wa Gesi.

Huenda ni kweli ujenzi wa Hydro Electric Power Plant ukawa na gharama mwanzoni na sio kila nchi / sehemu inaweza ikawa na HEP sababu lazima kuwe na viable infrastructure.

Ila ni ukweli usiopingika kwamba umeme wa maji ni renewable (yaani unaweza ukazalishwa tena na tena na tena) Gesi unless otherwise ni Biogas basi uchimbaji wa gesi sio renewable... Nisiwachoshe kuna hii article hapa chini kuhusu gharama ya renewables na umeme wa maji bado ni cheaper... as of 2017 nadhani hii 2021 hali haijabadilika sana

Anaitafuta nafasi ya Dr. Medad Kalemani
 
Kwa CV yake tu huyu Profesa, Uweledi wake, Uzoefu wake na Uwezo wake mkubwa wa Akili nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya huu Mtazamo wake.

Ni Rais Mpumbavu tu pekee ndiyo hatotaka kufanya Kazi na Mtu very competent kama Profesa Muhongo ambaye hata Mataifa Makubwa na yaliyotuzidi kila Kitu hadi Akili walifanya nae Kazi na sasa wanamtumia pia kama Independent Consultant katika Masuala ya Madini na Jiolojia pia.

Majungu dhidi yake hayasaidii ni Upuuzi.
Alituambia hivyo kipindi Fulani akiwa waziri.. Alisema yeye anahitajika kila nchi dunia hii.. nilishangaa baada ya kutumbuliwa Amekua bench muda wote..hakuna ata Local NGO imetamani Huduma yake...samaki analinga akiwa ndani ya maji.
 
SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.

Ameshakuwa Rais sasa, udhaifu wake ndio tutaishi nae. Wale wenye nguvu au wameshapita au watakuja baadae. Usiwe mwoga sana kuona mlango umefunguliwa, au wewe ni mnyang’anyi kama yule jamaa??
 
Hivi CV yake inaeleza alivyokataliwa na mke wake na siku hizi hajulikani anaishi wapi! Baada ya hayo ndo najua kwamba CV ni ya huko darasani. siyo kwenye miradi ya umeme wakati ulisomea jiolojia.
Ukisimuliwa jinsi hilo janamke lilivyomnyanyasa professor huwezi kutamani hata kuoa, bwege wewe...
 
Prof Muhongo ni poyoyo!
Simkubali sana Magufuli kwa faulo alizo zifanya lakini kwa hili la umeme alilipatia vizuri.

Umeme siyo fashion.
Hoover Hydropower Dam ya Marekani iliyojengwa na kumalizika mwaka 1933 na mpaka leo linatoa umeme tena mdogo kidogo kuliko la Rufiji.
Hoover Dam 2080MW
La kwetu litakuwa 2115MW

Muhongo tunajua ana bifu na Magufuli asiliingize bifu kwenye umeme.
Huyu Prof angelinda heshima yake angekaa kimya kama yupo msalani, kwa hili la umeme afyate mkia kabisa alituingiza matatizoni sana,
Makinikia yalimshinda
Escrow ilimshinda
Kinyerezi ilimshinda
Underground cabling ilimshinda
Leo anaibuka mithili ya nguchiro kutukana msasi
He is hopeless
 
Kuwekeza kwenye Umeme wa maji ni bahati nasibu.Kila siku tunaongelea mabadiliko ya tabia nchi.Kuna weza kuwa na mafuriko mwaka huu mwakani kukawa ukame kupita maelezo.Umeme wa uhakika ni gas ,makaa ya mawe ,nguvu ya nyuklia!
 
Atuambie kwanini uwepo wa Kinyerezi plants haujapunguza maumizu yetu na yeye alikuwa waziri huko? hatumwamini kwakuwa ana ndimi nyingi sana huyo
Hahahah nyie wote hamjui Tanzania mpaka sasa umeme tunaotumia yaani National grid asilimia 50 (50%) ni gesi asilia iliyobakia ndio uweke maji, upepo na vingine...na Kinyerezi 1 na 2 zikizimwa tunarudi kwenye giza kama ilivyokuwa before 2004, mimi naongea kama mtaalamu wa mafuta na gesi, quote me!
 
Yaani saizi kuna miluzi tele ya wasaka tonge, watabuni miradi mingi ili watengeneze ulaji tu hakuna lingine
 
Kwahiyo mlitaka mpaka wasukuma mujue kichimba gesi ndio muanze michakato ya LNG?? Mlikuwa mna mpango wa kujinehemesha tu sukumas sio?

Mama kasema kwenye LNG tuanze na pia tuangalie maslahi yetu. Kama hakuna Investor tuanze wenyewe kwa pesa zetu kama tulivyoanza kwenye SGR..

Nyie wapumbavu mbona hamuongelei ATCL ilikuwa inapiga hasara na huyo shujaa wenu akawa anatangaza hadharani eti inapata faida? The guy was a complete selfish thief, ndio maana alijaza wezi wenzake waibe kimya kimya na kulazimisha ATCL ianze safari za kwenda Chato Airport kitu ambacho afisa masoko wa ATCL kakiri huyo ruti ni hasara tu hakuna biashara
Hujui kitu, nyamaza nyumbxxx wewe, LNG inayotakiwa kujengwa ni almost 30bn USD, mtajenga wenyewe kwa kodi ipi? Unaropoka tu hovyo hovyo, SSH ni gwini na hakuna attention to details at all, unafikiria kujenga LNG wakati hata kukusanya kodi hutaki ?
 
Muhungo ni dalali tu,

Umeme wa maji ndio umeme nafuu na kwa kiasi kikubwa ndio tegemezi kwenye mataifa makubwa yote duniani.

Power station kubwa duniani ya umeme jua ni Megawatt 2500 tu...na imejengwa kwa gharama kubwa isiyoelezeka

Uranium 1gram inatoa 1 Megawatt licha ya uwezo mkubwa wa Uranium kutoa nishati kubwa kiasi hiki Mataifa makubwa hayazalishi umeme mwingi kwa Uranium badala yake wanawekeza sana kwenye Hydropower
Nakazia hoja
 
Electricity in Tanzania is generated using gas; hydropower is also a significant source of power.Tanzania has a capacity of 1,601.84 megawatts (MW) as of April 2020, Natural Gas contributes 892.72MW, Hydroelectric Power contributes 573.70MW, while heavy oil and biomass make up of 88.80MW and 10.50MW, respectively. Quoted!
 
Back
Top Bottom