Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Hv unaijua kweli kazi ya CAG?? Kwahyo kama kuna upigaji ulitaka akae kimya?? Wakati ule prof Asad alipogundua 1.5 trillion haionekani huyo Mungu wenu wa chato akamuundia zengwe akatolewa sababu alibaini wizi wa pesa.
Tatizo lenu mliishazoea kufungwa midomo kwa watu kwahyo isingekua rahisi kugundua haya yaliyoibuliwa na kichere matokeo yake mmebaki mmepoteana.

Ukisemea gharama ya umeme wa maji ni kweli uko sahihi kua ni wa bei ya chini lakini tumeshuhudia gharama za umeme kuongezeka nchi hii je tulihitaji kuongeza tena hydroelectric power plant?? Tena kwa trillion karibia 10?? Je wajua kua tungewekeza kwenye umeme wa upepo kwa makambako, singida na same pekee tungetumia almost 3trillion lakini tungezalisha almost 24,000MW??? Ambao tungepata umeme wa ziada kuuza nchi zingine na kurudisha pesa zetu kwa haraka kuliko kuwekeza almost 10 trillions kwa kuzalisha 2100MW???
Ngoja nikuambie Kama ulikua hujui kulingana na mabadiliko ya tabia ya nchi uwekezaji kwenye umeme wa maji ni kupoteza hela
 

Ama kweli kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,ngoja niishie hapa.
 
Hivi kwanini mnapenda kuandika upuuzi, embu tusaidie unahitaji hector ngapi za wind farm kulinganisha na JNHPP and amount capital to be in par.

Kila mpuuzi mwenye smart phone nchi hii thinks has a right to air his nonsense. Ujinga mtupu

Jamaa hadi mishipa inamsimama kwa kuandika,nimesoma alichoandika sasa nikabaki kushangaa tu.
 
kwa mtazamo wangu naona hata mbuyu ulianza kama mchicha hatuwezi kuruka kufikia maisha ya nchi zilizokwisha endele kwa mara moja tuko mbali sana ni sawa na kuvusha darasa watoto wakati kila stage ina umuhimu wake kwanza tuendelee na Rufiji ndipo tufikirie hayo mengine
 

wanajipalia makaa

Ndio maana wakamuua
 
weka link sio maneno yaso na ushahidi.
 
Baba Magufuli usiamke, endelea tu kulala cause ukiamka unaweza KUFA kwa BP, watu uliowaamini hata kuwanyanyasa sana wapinzani kupitia wao kumbe walikua wanafiki kupindukia, yaani hata kaka Job wa dodoma nae kakugeuka????

Funzo kwa mama; bora urudishe demkrasia, utapata madini mengi kwa wabunge wa upinzani kuliko chama chako, hawa wa chama chako wakigundua hupendi kitu fulani, hawatasema, watasubiri either ufe au utoke madarakani ndio waanze kusema, kwa ufupi kuanzia spika, naibu wake na wabunge wote (may be including mawaziri ) hawana msaada wowote zaidi ya kutafuta chakula tu.
 
Hivi kwanini mnapenda kuandika upuuzi, embu tusaidie unahitaji hector ngapi za wind farm kulinganisha na JNHPP and amount capital to be in par.

Kila mpuuzi mwenye smart phone nchi hii thinks has a right to air his nonsense. Ujinga mtupu
Yaani huwezi kabisa kutetea point yako bila kutukana?? Au ndo slogan mliorithishwa na mwenda zake?? Ningekuona wa maana Sana kama ungenambia gharama za wind farm ni kubwa kiasi gani na return yake itachukua muda gani kulinganisha na hydroelectric power plant ya bonde la rufiji lakni unapokuja na matusi bila kuniambia Cha kufanya namm nakuchikulia kama mpuuzi tu anaejifanya kua na uelewa wa mambo kumbe boya tu.
 
Najiulizaga ivi hawa wanao ponda miradi iliyo anzishwa na magufuli kwa ajii ya maendeleo ya taifaletu wana fanya hivyo kwa kumkomoa Magu ama wanatutafuta nini hasa watanzania.

Kunawatu wanatakakuipeleka hii nchi pabaya wengojatu.
 
Msimamo wetu ni kuwa hatutaki siasa za kidhalimu, yoyote anayekwenda kinyume na msimamo huu hana bahati. Hata huyu mama akitoka nje ya mstari inakula kwake. Halafu Achana na hicho kichaka kiitwacho ccm, maana huko ccm hakuna kitu kinaitwa msimamo zaidi ya mlo. Mfano halisi, angalia walichokuwa wanasimamia wakati wa Magufuli, na wanachoongea hivi sasa.
 
Hivi kwanini mnapenda kuandika upuuzi, embu tusaidie unahitaji hector ngapi za wind farm kulinganisha na JNHPP and amount capital to be in par.

Kila mpuuzi mwenye smart phone nchi hii thinks has a right to air his nonsense. Ujinga mtupu

Bado hujapanick vizuri, utapanick sana.
 
Hoja za Dam55 zimekuzidi uwezo
Kumbe ni hoja za ushindani, nakubali amenishinda kama ilikuwa mashindano, lakini chambo hicho nimemtupia na sidhani kama atarudi.
 

ndio maana tunawashangaa nyinyi wenzetu ni wa kumsifia mama leo hii[emoji85][emoji85]
 
Huyu Professa aliebariki michongo ya IPTL leo ndio anaishauri serikali
Mkuu prof amechangia kama mtaalam Wa mbobezi Wa miamba duniani,tunamsubiri na mtaalam Wa nyuklia mbobezi Gharib Bilal nae aje atoe yake ya moyoni.

Ila mwendazake alikuwa bandidu,hujamshauri bado.
 
Mpaka Sasa Mwana CCM naona anajiamini ni Membe tu...Wengine hawa wanaosema leo ni wanafiki..hawana Principles...Kama unasema leo kwann hukusema huko nyuma?? MUHONGO Ulijificha wapi na ulikua Mbunge???

Hayo Mbona Hukuyasema??? Watanzania wakataeni hawa watu waongo na wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…