Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

sijui kwa nini Mungu haingilii kati hili swala aise ?
 
Vitambulisho vya machinga alikuwa anawatozo kina nani?

Wale wakurugenzi waliokuwa wananunua ma V8 ya mil.450 kwa kisingizio cha kukusanya mapato nk walikuwa wanatumia pesa za nani?

Mwisho,mtu Gani wa kijijini ana acconts za benki?

Tozo zimekuwepo mwaka uliopita na hakuna makelele ila walipogusa tozo za banks Kwa nyie majizi msiotaka kulipa Kodi na kufaidi jasho la maskini ndio mumekuja na upuuzi wa Sasa..

Nasema hivi huyu Rais anawadekeza na atavuna anachopanda..

Hakuna mlalahoi hata mmja yuko jf au Twitter bali humu mna watu wenye uwezo wa kulipa tozo na wengi wao wako mjini ila kwa sababu mumezoea kunyonya watu wa Vijijini na Wala hawana mtetezi mnajiona wa maana..

Mwendazake angesema kabisa kwamba majizi wa mjini ndio hawataki Kulipa tozo Ili nyie wa Vijijini mpate huduma na wangemuunga mkono na tozo mungelipa hata Kwa bakora.
Haya mawazo yako tumeyasikia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Serikali waamue jmn walau Prado New Model tu...na Fortuner mbona ni gari nzuri tu

Ama Ford SUV

Waachane na V8 na jamii hizo
 
Back
Top Bottom