Miss Kyalla
Senior Member
- May 13, 2019
- 168
- 135
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
17 Dec 2019
Waziri Ndalichako amesema kwa kuzingatia uhitaji wa wanafunzi waliojiunga na masomo kwa mwaka 2019/2020 pamoja na kwamba katika bajeti lengo ilikuwa kutoa mkopo kwa wanafunzi elfu 45, lakini hadi kufikia Desemba serikali ilikuwa imetoa mkopo kwa wanafunzi elfu 49, 485 ambao wamepata mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni 172 na milioni 400. - Pia Waziri Profesa Ndalichako, ametoa saa 24 kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam kuhakikisha kuwa kinachukua hatua kwa wanafunzi waliotoa tamko ambalo limekiuka taratibu na kutoa taarifa ni hatua gani zimechukuliwa.
Hivi serikali gani duniani itafurahia kupewa masaa kadhaa (kushurutishwa) kutekeleza jambo ambalo bado lipo kwenye majadiliano. Nashauri uongozi wa chuo usitumie jazba ila ichukue hatua ambazo hazitawaumiza hao vijana ila iwape onyo na ushauri.Siri kali dhaifu inaogopa matamko ya watoto!
Serikali ni mtoto wa wananchi, na siyo mzazi. Wazazi wa serikali ni sisi wananchi tunaoipatia serikali fedha na mamlaka ya kutuongoza. Mwajiri wa serikali ni wananchi.Kukopa ni harusi,sasa hivi wanalilia kupewa mikopo lakini washaanza kukatwa midomo juu,waziri yuko sahihi,serikali inajua matatizo yao ,huwezi kumuamuru baba yako mzazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kuikumbusha Serikali kutimiza wajibu wake ni kutumika kisaisa. Ila muda wa Uchaguzi wa Serikali za tunawaimiza kuwachagua wanaccm. Alafu tuna Umoja wa Vijana CCM Vyuo Vikuu, sasa sijui hapo wanatumika kwenye mpira wa miguu au siasa?Vijana wasitumike kisiasa
Wazazi wao wamepambana sana hadi kufikia hatua hiyo
Wakifika vyuoni wasijifanye wanaharakati
Hawa waliopunguziwa ada, ambao hawajapewa stahiki zao na hawa first year ambao wanavigezo vyote hawajapata mkopo wafanye nn? Haswa baada ya rufaa kubuma?Vijana wasitumike kisiasa
Wazazi wao wamepambana sana hadi kufikia hatua hiyo
Wakifika vyuoni wasijifanye wanaharakati
Serikali ni wananchi au watawala?Ivi serikali gani duniani itafurahia kupewa masaa kadhaa (kushurutishwa) kutekeleza jambo ambalo bado lipo kwenye majadiliano. Nashauri uongozi wa chou usitumie jazba ila ichukue hatua ambazo hazita waumiza ao vijana ila iwape onyo na ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unaijua njaa kweli wewe?Acheni kucheza na serikali ya awamu ya tano na hoja zenu mfu,someni acheni siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasoma ukiwa na njaa? Or you mean wakae kimya, wafe kikondoo? Kwa nini mnakuwa na roho mbaya kiasi hiki? Unakosa huruma hata kidogo? Wapeni pesa vijana wasome. Kumekuwa na tabia ya kulaumu graduates wa miaka ya hivi karibuni, kuwa wana graduate wakiwa hawana ujuzi wa kutosha wa kile wanasomea. Mnachoshindwa kujua, serikali ndio sababu.Acheni kucheza na serikali ya awamu ya tano na hoja zenu mfu,someni acheni siasa
Sent using Jamii Forums mobile app