Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Sijui katiba inasemaje; kwa hali hii, succession sijui itakuwaje.
 
Mke wa Eng. John Kijazi Naye amelazwa Muhimbili. Hataweza kumuaga mumewe. Tatizo la kupumua linasumbua sana
 
Poleni watanzania wenzangu
Pole kwa rais John Pombe Magufuli kwa kumpoteza msaidizi wake
Sio rahisi kwake Mungu aendelee kutupa imani, tuchukue tahadhari na kumwomba sana yeye
 
Vipi mbona kwenye orodha hiyo hakuna chairman?
 
Jiwe kama kawaida yake kaamua kula kona[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…