lutajangurwa
Senior Member
- Sep 21, 2019
- 126
- 172
Yaonekana huyu mkulima amezoea njia za mkato. Na hapa yawezekana watu wake wa airport anaowatumia siku zote walichanganyana.Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.
Kwangu mimi milioni mia mbili ni nyingi sana, inakuwaje hapa? Kama ana docs zote muhimu awahi Kisutu basi.Yaonekana huyu mkulima amezoea njia za mkato. Na hapa yawezekana watu wake wa airport anaowatumia siku zote walichanganyana.
Ili dili kama hizi zibumbuluke, lazima walishawahi kuzulumiana michongo ya nyuma. Haiwezekani hivi hivi
Je kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?Utaratibu usiyofuata sheria na maadili ya kazi siyo utaratibu.Nowdays dunia ni kijiji mfanyabiashara anaweza nunua bidhaa mahali popote kulingana na uhitaji wake wa kisheria na kibiashara.Tunapozungumzia uzalendo wa kulinda mifugo yetu na vyakula vyeti isiwe sababu ya kuwanyima watu fursa ya kupata vibali kwa muda mwafaka.
Good question maana tunalalama sana humu hasa hii middle class, South korea, Singapore miaka ya 70s uchumi wetu ulikua almost upo Sawa na sisi ila sasa ni dunia tofauti kabisa,Zambia 🇿🇲 they're driving their economy kwa speed sisi bado tunakalia majungu, diesel na petrol inashuka chini kwa kiwango kikubwa mno hapo Zambia kwetu ??,u need 132ths to buy 1 ZWK!,haya ni maajabu na tuelewe bei ya mafuta haya pia yanaamuliwa na jinsi local currency inavyopambana na usdHaya mambo yasikie kwa jirani tu, yakikukuta utaona kama dunia imekuelemea mkuu. Unapoomba kibali cha shughuli yako ni kama umewaambia una hela za kugawa. Swali, tutalia hivi mpaka lini????????
GeJe kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?
Kama kuna zuio la kuingiza vifaranga toka nje, ijulikane wazi. Na kama mkulima mwenzangu alikatisha, serikali itoe maelezo ili kuondoa hii kashfa kubwa juu ya nchi yetu. Watu watatukimbia na kutuweka ktk nchi isiyotabilika kibiashara.Good question maana tunalalama sana humu hasa hii middle class, South korea, Singapore miaka ya 70s uchumi wetu ulikua almost upo Sawa na sisi ila sasa ni dunia tofauti kabisa,Zambia 🇿🇲 they're driving their economy kwa speed sisi bado tunakalia majungu, diesel na petrol inashuka chini kwa kiwango kikubwa mno hapo Zambia kwetu ??,u need 132ths to buy 1 ZWK!,haya ni maajabu na tuelewe bei ya mafuta haya pia yanaamuliwa na jinsi local currency inavyopambana na usd
.....Kuna vichwa vya Treni pale bandarini ambavyo eti havikua na mwenyewe, Leo mazuzu wamesahau na issue ya vifaranga ndio news!Kuna shida pande zote mbili
1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali
Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.
Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.
ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
Bi kiroboto anajua hiliDuh
Vimekufa Mwaka huu au last year?
Kama kibali hakupata basi imekula kwa Mkulima na itakuwa case study kwa siku za usoni. Namhurumia.Kuna shida pande zote mbili
1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali
Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.
Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.
ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
Na hayo ndiyo maswali wanayoyapenda,je kuna sheria yoyote halali inayokataza kununua mifugo au breed zingine nje ya nchi?Je kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?
Hizi ndo hoja ambazo serikali inatakiwa iziweke wazi ili wadau wa ufugaji wajue.Na hayo ndiyo maswali wanayoyapenda,je kuna sheria yoyote halali inayokataza kununua mifugo au breed zingine nje ya nchi?
Hapana mkuu, kusafirishwa nje rukhsa kwa vigogo na wenye helaWanyama wakiingizwa ndani ya nchi, Nongwa: Wakisafirishwa nje ya nchi, nongwa...
Last year ya mwaka huuDuh
Vimekufa Mwaka huu au last year?
Kibali hakijatoka halafu kule wanamuharakisha Anunue haraka bei itapanda.Kama kibali hakupata basi imekula kwa Mkulima na itakuwa case study kwa siku za usoni. Namhurumia.