Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Najuta kuingia huu uzi wa huzuni kisha nikakutana na maboya kama haya dahMtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.