TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

ukiondoa kuwa mwalimu wa chuo kikuu, jambo gani kubwa alilofanya marehemu katika fani hiyo ya nuclear physics ambalo limeacha alama kubwa kwa taifa la tanzania?

NB: RIP prof. msaki.
Amefundisha vijana wengi pale Mlimani na kuwarithisha maarifa yake kwa ajili ya vizazi vijavyo. Amefanya utafiti na kuandika mawazo yake katika majarida mbalimbali na vitabu ili viendelee kusomwa na wapenda maarifa. Hakuna mchango mkuu unaozidi huu. Apumzike salama prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Najuta kuingia huu uzi wa huzuni kisha nikakutana na maboya kama haya dah
Huzuni inabaki palepale, lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa wataalam wetu wa nuclear physics hawana applicability yoyote practically zaidi ya kuwa watu wa theory tu.
 
Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana.

Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo
RIP Le Professeur Physique Nucléaire

He did his part and teh benficiaries of his intellectuals are bound to do their part for science and technology advancement.
 
R.I.P. Tanzania hatujawahi hata tengeneza hata mabomu. Hatuna hata nuclear reactor moja. Too sad kumbe wataalam wa nuclear tunao. Sema hawaiaply.
Bageshi. Nuclear ni uwanja mpana sana na siyo kutengeneza mabomu peke yake. Ni uwanja unaogusa karibu nyanja zote kuanzia tiba, kilimo, teknolojia mbalimbali na hata uhifadhi wa vyakula. Ingekuwa ni kwa ajili ya mabomu peke yake basi wataalam wa fani hiyo wangekuwa tu kwenye nchi chache zenye uwezo wa kuunda hayo mabomu. Hapa umechemsha bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Warumi 14:8

maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.
 
Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana.

Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo

Kupoteza mwanasayansi kwangu naumia kuliko kupoteza wanasia maana bila sayansi nisingefika hapa.r.i.p
 
IMG_2756.jpg
 
Back
Top Bottom