Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
Nimekupa pole ukiwa Kama mdau mkubwa wa fizikia.Utakuwa umekosea namba🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupa pole ukiwa Kama mdau mkubwa wa fizikia.Utakuwa umekosea namba🤔🤔🤔
Shukrani ndugu,hawa walimu wa lugha hawajui kitu wanasumbua sana jukwaani😂😂😂😂Nimekupa pole ukiwa Kama mdau mkubwa wa fizikia.
Lakini wanachosema ni kweli.Vijana wa chadema bure kabisa, mmekuwa ni utopolo kwa taifa. Wapumbavu kabisa nyie
Theoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
Ni wakuwapuuza tu.Shukrani ndugu,hawa walimu wa lugha hawajui kitu wanasumbua sana jukwaani😂😂😂😂
NDIYO maana nimeuliza halafu hao kina msaki ni ndugu zetu huko sanya juu usije kuta hata kwa mbali na relate nayeNyuklia sio bomu unalolifikiria.undani wake kama ujui borAa kukaa kimya
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
Umejipambanua kiuelevu kwa kushambulia kiuchama, soma reply hiyo nyingine na utukane tena.Vijana wa chadema bure kabisa, mmekuwa ni utopolo kwa taifa. Wapumbavu kabisa nyie
Wabongo watamlazimisha hata Steven Hawking awaonyeshe kitu tangible alichounda. Bado sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Theoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.
Mwanafizikia sio kazi yake kuunda vitu, hio ni kazi ya Engineer men!
Lakini wanachosema ni kweli.
Maana watu walishaanza kutupiga fix humu, ati ooh nyuklia sio mabomu tu!
Fine, mtueleze basi alichofanya marehemu. Something practical or tangible.
Tupeni wasifu wake na umaridadi wake wa kitaaluma katika kulisaidia taifa kwenye mambo halisi yanayoonekana.
Humu zinakuja hadithi za GPA, mara sijui revolution square!
Nasikia marehemu ana GPA kubwa tangu Tanganyika ipate uhuru!
Ndo maana kwetu wanaishia kufundisha tu.Mtaalam wa nuclear,nchi yako inanunua silaha nje. Elimu yetu tatizo ya theories tu.Vitendo zero. We don't imagine. Tunapata theories then tunatulia. Hizo nyanja unazosema kitu gani kafanya ?Bageshi. Nuclear ni uwanja mpana sana na siyo kutengeneza mabomu peke yake. Ni uwanja unaogusa karibu nyanja zote kuanzia tiba, kilimo, teknolojia mbalimbali na hata uhifadhi wa vyakula. Ingekuwa ni kwa ajili ya mabomu peke yake basi wataalam wa fani hiyo wangekuwa tu kwenye nchi chache zenye uwezo wa kuunda hayo mabomu. Hapa umechemsha bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
Hii nayo ni "nuclear physics" mliyokuwa mnafundishwa na huyo jamaa?Unapo taka kujua zaidi mfano ushuzi wako unao jamba zaidi ukiacha gesi itakayo nukisha mpaka hiyo gesi ndani ya gesi kuna nini hapo utakuwa umefika kujua maisha kinyuklia.sawa na kupikiwa pilau na mkeo wakati ujui pesa katoa wapi
Hii nayo ni "nuclear physics" mliyokuwa mnafundishwa na huyo jamaa?
naanza kusoma physics at 30yrsTheoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.
Mwanafizikia sio kazi yake kuunda vitu, hio ni kazi ya Engineer men!
Duuh ndiyo maana naikuli JF kisawa sawa.Kweli kabisa mkulungwa labda nzu nzu nzu weeeee mamaaa nyukilia weeeee lakini sio ile nyuklia ya kina Albert Einstein au ya Los Alamos ya kina openweima.
Spare me your school theories!Kazi kubwa kuelewa.
Jibu langu hii teknolojia unayo comment unafahamu inavotumika.unajua unachotumia
Ndo maana kwetu wanaishia kufundisha tu.Mtaalam wa nuclear,nchi yako inanunua silaha nje. Elimu yetu tatizo ya theories tu.Vitendo zero. We don't imagine. Tunapata theories then tunatulia. Hizo nyanja unazosema kitu gani kafanya ?