TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

Vijana wa chadema bure kabisa, mmekuwa ni utopolo kwa taifa. Wapumbavu kabisa nyie
Lakini wanachosema ni kweli.

Maana watu walishaanza kutupiga fix humu, ati ooh nyuklia sio mabomu tu!

Fine, mtueleze basi alichofanya marehemu. Something practical or tangible.

Tupeni wasifu wake na umaridadi wake wa kitaaluma katika kulisaidia taifa kwenye mambo halisi yanayoonekana.

Humu zinakuja hadithi za GPA, mara sijui revolution square!

Nasikia marehemu ana GPA kubwa tangu Tanganyika ipate uhuru!
 
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
Theoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.
Mwanafizikia sio kazi yake kuunda vitu, hio ni kazi ya Engineer men!
 
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
Vijana wa chadema bure kabisa, mmekuwa ni utopolo kwa taifa. Wapumbavu kabisa nyie
Umejipambanua kiuelevu kwa kushambulia kiuchama, soma reply hiyo nyingine na utukane tena.
Kama unaelewa kuhusu hilo jambo kwanini usilitolee ufafanuzi badala ya kushambulia na kutukana?
 
Theoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.
Mwanafizikia sio kazi yake kuunda vitu, hio ni kazi ya Engineer men!
Wabongo watamlazimisha hata Steven Hawking awaonyeshe kitu tangible alichounda. Bado sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lakini wanachosema ni kweli.

Maana watu walishaanza kutupiga fix humu, ati ooh nyuklia sio mabomu tu!

Fine, mtueleze basi alichofanya marehemu. Something practical or tangible.

Tupeni wasifu wake na umaridadi wake wa kitaaluma katika kulisaidia taifa kwenye mambo halisi yanayoonekana.

Humu zinakuja hadithi za GPA, mara sijui revolution square!

Nasikia marehemu ana GPA kubwa tangu Tanganyika ipate uhuru!

Unapo taka kujua zaidi mfano ushuzi wako unao jamba zaidi ukiacha gesi itakayo nukisha mpaka hiyo gesi ndani ya gesi kuna nini hapo utakuwa umefika kujua maisha kinyuklia.sawa na kupikiwa pilau na mkeo wakati ujui pesa katoa wapi
 
Hivi huyo Prof. ndo alikuaga anafundisha pale UDOM au ni majina tu?
 
Bageshi. Nuclear ni uwanja mpana sana na siyo kutengeneza mabomu peke yake. Ni uwanja unaogusa karibu nyanja zote kuanzia tiba, kilimo, teknolojia mbalimbali na hata uhifadhi wa vyakula. Ingekuwa ni kwa ajili ya mabomu peke yake basi wataalam wa fani hiyo wangekuwa tu kwenye nchi chache zenye uwezo wa kuunda hayo mabomu. Hapa umechemsha bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana kwetu wanaishia kufundisha tu.Mtaalam wa nuclear,nchi yako inanunua silaha nje. Elimu yetu tatizo ya theories tu.Vitendo zero. We don't imagine. Tunapata theories then tunatulia. Hizo nyanja unazosema kitu gani kafanya ?
 
Mbung'o
Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
 
Unapo taka kujua zaidi mfano ushuzi wako unao jamba zaidi ukiacha gesi itakayo nukisha mpaka hiyo gesi ndani ya gesi kuna nini hapo utakuwa umefika kujua maisha kinyuklia.sawa na kupikiwa pilau na mkeo wakati ujui pesa katoa wapi
Hii nayo ni "nuclear physics" mliyokuwa mnafundishwa na huyo jamaa?
 
Theoretical physst never design anything but they explain hard,abstract thing in a simplest language, they open what is hidden! Ukimtoa mungu mkuu(GOD OF CREATION) anaefuatia in mwanafizikia.
Mwanafizikia sio kazi yake kuunda vitu, hio ni kazi ya Engineer men!
naanza kusoma physics at 30yrs
 
Kazi kubwa kuelewa.
Jibu langu hii teknolojia unayo comment unafahamu inavotumika.unajua unachotumia
Spare me your school theories!

Ujanja ujanja tu!

Nuclear physics my foot!
 
Aliwahi kutuhadithia mwalimu wa chuo X.
Temeke kuna bonde moja linalimwa mchicha na mbogamboga, sasa mwanafizikia mmoja akafanya kautafiti kadogo tu, akachukua sample akaingia lab akazipima hizo mboga.MWe MWe alichokikuta ni full dozi za radiation katika hizo mboga.Akapiga step ahead kwa wadau.Ebana eeh ile mimboga ipo full radiated!!! At nini, akauliza mwanasiasa mmoja, kisha akamwambia shiiii.
Jamaa akachukua andiko lake akalitupia kabatini.Mpaka leo pale mboga zinalimwa with full radiation element.
Acha tu waendelee kubisha huku wakiendelea kuathirika kwa kupuuza wataalamu.
 
Ndo maana kwetu wanaishia kufundisha tu.Mtaalam wa nuclear,nchi yako inanunua silaha nje. Elimu yetu tatizo ya theories tu.Vitendo zero. We don't imagine. Tunapata theories then tunatulia. Hizo nyanja unazosema kitu gani kafanya ?

Nuclear Physicist kazi yake siyo kutengeneza silaha. Yaani nuclear physicist atengeneze bunduki au vifaru? Na wahandisi watafanya nini sasa? Mwanafizikia wa Nyuklia anahusikaje na nchi kununua au kutonunua silaha nje? Waisraeli mbona wananunua silaha za Wamarekani wakati wana mabomu ya Nyuklia tayari?

Elimu yetu ndiyo ina theories nyingi lakini kwa hawa wanafizikia unawaonea tu. Unajua kuwa hata akina Einstein hawakuunda cho chote bali ni theories tu?

Simjui vizuri marehemu na siwezi kumjibia lakini angalizo langu lilikuwa limejikita katika uhalisia na upana wa hiyo taaluma ya nuclear physics. Haijikiti katika kuunda mabomu tu bali ni taaluma pana sana. Nimemaliza [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom