Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.

Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama.

Chanzo: Gazeti la Raia Mwema, Ijumaa 24 June 2022

View attachment 2270268

Ingawa huyu ni professor wa sheria, amejiongoza vibaya. Mdee na wenzake wamekiuka amri gani ya mahakama hata wastahili kukamatwa?

Even if mahakama ingekuwa imetoa amri kwamba Mdee na wenzake waondolewe Bungeni, hiyo amri bado ingehitaji kukaziwa na mahakama na kisha kutekelezwa na mamlaka zinazohusika, ambazo sio Mdee na wenzake!
 
Back
Top Bottom