You are right, kwa sababu hiyo siyo contract agreement.Hata uki plead non est factim huutengui.
hili Li Hando linafiki hatari.Shivji haoni ndani kwa Professor Zembwela na Dr. Kitenge hawa ni wabobevu kwenye sheria za mikataba ya kimataifa.View attachment 2672113
Hando ndiyo yule njino kama ngiri?Umemsahau Kitenge na Hando wanasheria wabobevu wa mambo ya mikataba.
Wala sio wa kutafuta, ni vile serikali hii ya CCM ina utamaduni wa kulinda uovu wa viongozi wake.Tatizo lako ndio hilo. Msema kweli na mpinga ufisadi unamhusisha na hayati JPM. Ukiulizwa kuweka ushahidi juu ya udhalimu utaweka hapa
Poteleambali kama wewe huwez tuache ss tuandamane Kwa ajir ya vizazi vijavyo sio vya Sasa maana ss tushajichanganya TyrAcha uzwazwa mzee. Bora amani ya kijinga kuliko haki yenye fujo.
Watu million 60 huwezi kufanya decision ya kuwafurahisha wote.
Hujifunzi nchi zilizokimbilia kwenye machafuko sasa hvi zinaishije?
Narudia acha uzwazwa aisee.
Yaan mkataba ambao direct impact yake haimfikii hata mtoto wako ndio ufanye nchi iingie kwenye machafuko ambayo yataleta direct impact kwa watoto wako?, tumieni akili basi
Nyamaza wewe JINI CHEKETU.Ila ule sio mkataba, bado hawajaingia mkataba baina ya TPA na DPW
Watakuwa walipewa chao mapema.Inawezekana kabisa timu yetu iliyohusika ikiwa pamoja na kocha mkuu na meneja wake hawakuwa na uelewa wa lugha iliyotumika kwenye terms za mkataba huu. Kifupi ni Magungo wa zama zetu maana Kuna terms ikiwemo hiyo ya kutokuvunja mkataba kwa namna yoyote iwayo ile, hata mtoto wa darasa la 5C angeshituka vinginevyo wanaosema bandari imeuzwa kwa wajomba Wana hoja ya msingi na wasikilizwe.
Mpinge kwa hoja si kwa uchawa wakoShivji Mkomunisti huyo, anapenda siasa za kimaskini.
Chawa wa Bandari kazini.Mpinge kwa hoja si kwa uchawa wako
CCM Wanambiwa ni jiko la kupikia watu wa kujitoa ufahamu hawaelewiMkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
View attachment 2671928
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu ushirikiano wa kiuchumi lakini ukweli ni kwamba mkataba huu ni aina ya mikataba ya uwekezaji
Katika mkataba huu wa bandari kuna mambo mawili, jambo la kwanza, mkataba unahusu ushirikiano wa kiuchumi lakini sio ushirikiano wa kiujumla bali ni katika eneo la bandari za bahari na bandari za maziwa. Na jambo la pili ni kwamba mwekezaji ameshatambulika
Watu waliokuwa wanasema mkataba wa bandari ni wa miaka 100 hawakuwa wanamaanisha moja kwa moja ni miaka 100, walichomaanisha ni kuwa mkataba huu ni wa muda mrefu. Na ni kweli ni mkataba wa muda mrefu na utaisha pale ambapo mikataba yote ya miradi saba ya awamu ya kwanza itapokuwa imetekelezwa. Na kama kutakuwa na migongano au mifarakano, hadi itakapokuwa imetatuliwa.
Mkataba huu hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile hata kama tumevunja uhusiano wa kidiplomasia na U.A.E (Falme za Kiarabu)
Chanzo: Jambo Tv
Ili mradi kipatikane chochote cha kuuza na wao waambulie mgao au kupewa hisa waendelee kuneemeka vizazi na vizazi, ngozi nyeusi ni nyani aliyechangamka anachojali ni ubinafsi tu.Prof kasema mimi nani nisiunge mkono
Ccm ni majangili wa mchana na usiku wa nchi yetu
Wametoka migodini,mbuga za wanyama sasa wapo kwenye bandari
Mama anaamini wabongo..kitakachomkuta atasimulia...yaleyale ya JK...Hii nchi bila kujiongeza mwenyewe kama Magufuli au Mkapa...utaibuka ufisadi wa kutishaDah!!
Rais wangu Samia uko wapi!??
Kinukishwe tuHii nchi inahitaji mambo fulani yatokee ili Raia na nchi yao wapone.