Tatizo rimoti iko msogaDah!!
Rais wangu Samia uko wapi!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo rimoti iko msogaDah!!
Rais wangu Samia uko wapi!??
PumbavuShivji Mkomunisti huyo, anapenda siasa ya kimaskini.
Hoja plsPumbavu
Usicheke etii!Nimecheka kaa fala
Mbona huelezi mara mbili Profesa Shivja kasema anaongea laakini "hana ushahidi"?Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
View attachment 2671928
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu ushirikiano wa kiuchumi lakini ukweli ni kwamba mkataba huu ni aina ya mikataba ya uwekezaji
Katika mkataba huu wa bandari kuna mambo mawili, jambo la kwanza, mkataba unahusu ushirikiano wa kiuchumi lakini sio ushirikiano wa kiujumla bali ni katika eneo la bandari za bahari na bandari za maziwa. Na jambo la pili ni kwamba mwekezaji ameshatambulika
Watu waliokuwa wanasema mkataba wa bandari ni wa miaka 100 hawakuwa wanamaanisha moja kwa moja ni miaka 100, walichomaanisha ni kuwa mkataba huu ni wa muda mrefu. Na ni kweli ni mkataba wa muda mrefu na utaisha pale ambapo mikataba yote ya miradi saba ya awamu ya kwanza itapokuwa imetekelezwa. Na kama kutakuwa na migongano au mifarakano, hadi itakapokuwa imetatuliwa.
Mkataba huu hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile hata kama tumevunja uhusiano wa kidiplomasia na U.A.E (Falme za Kiarabu)
Chanzo: Jambo Tv
Kwamba kuwe na amani huku taifa linaibiwa? Non sense.Kweli nimeamini huwezi mwelewesha shekh utamu wa nyama choma na bia. Hii serikali haielewi kuwa sisi watanzania ni maskini na sifa ya maskini ni kufatilia mali za urithi. Sasa nyie mnataka kuuza bandari alafu pesa mgawane nyie na vizazi vyenu vyote hapa duniani hata mkifa mna hamu ya kuwa reincarneted kwenye familia zenu ili muendelee kuwa matajiri ndiyo mana akifa mtu anazaliwa mtu kwenye familia zenu?
zimenifikia mkuu😬😬😬🤣 Duuh hi sio MCHEZO mkuu umeuliza kwa msisitizo wa hali ya juu taarifa zimfikie HANGAYA THE CHIEF
Ma expert wa evaluation za mikataba zembwela na mwenzake hao ni manguli!!Najiuliza sana!
Inawezekanaje Profesa Shivji awe mwanasheria na azijue sheria kumzidi mbobezi wetu wa sheria ndugu Zembwela?!
Kwamba mnataka niamini Shivji ni nguli wa sheria kumzidi Maulid Kitenge!
Eti Profesa Shivji ana mzidi kudadavua sheria za mikataba mwana sheria mbobezi wa sheria za mikataba ndugu Msigwa?!
Acheni kuniaminisha ujinga atiii!
NB: Mod, andiko langu ni swali tafadhari msiuunganishe ili niweze kupata majibu.
Shivji hajaona kifungu cha 5:4?Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
View attachment 2671928
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu ushirikiano wa kiuchumi lakini ukweli ni kwamba mkataba huu ni aina ya mikataba ya uwekezaji
Katika mkataba huu wa bandari kuna mambo mawili, jambo la kwanza, mkataba unahusu ushirikiano wa kiuchumi lakini sio ushirikiano wa kiujumla bali ni katika eneo la bandari za bahari na bandari za maziwa. Na jambo la pili ni kwamba mwekezaji ameshatambulika
Watu waliokuwa wanasema mkataba wa bandari ni wa miaka 100 hawakuwa wanamaanisha moja kwa moja ni miaka 100, walichomaanisha ni kuwa mkataba huu ni wa muda mrefu. Na ni kweli ni mkataba wa muda mrefu na utaisha pale ambapo mikataba yote ya miradi saba ya awamu ya kwanza itapokuwa imetekelezwa. Na kama kutakuwa na migongano au mifarakano, hadi itakapokuwa imetatuliwa.
Mkataba huu hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile hata kama tumevunja uhusiano wa kidiplomasia na U.A.E (Falme za Kiarabu)
Chanzo: Jambo Tv
Watawala hawawezi kukuelewa mzee.., raia tunashukuru sana tunapata elimu mpya kila kukicha. Japo waelimishaji mnaitwa wapotoshaji mara wachochezi.Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
View attachment 2671928
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu ushirikiano wa kiuchumi lakini ukweli ni kwamba mkataba huu ni aina ya mikataba ya uwekezaji
Katika mkataba huu wa bandari kuna mambo mawili, jambo la kwanza, mkataba unahusu ushirikiano wa kiuchumi lakini sio ushirikiano wa kiujumla bali ni katika eneo la bandari za bahari na bandari za maziwa. Na jambo la pili ni kwamba mwekezaji ameshatambulika
Watu waliokuwa wanasema mkataba wa bandari ni wa miaka 100 hawakuwa wanamaanisha moja kwa moja ni miaka 100, walichomaanisha ni kuwa mkataba huu ni wa muda mrefu. Na ni kweli ni mkataba wa muda mrefu na utaisha pale ambapo mikataba yote ya miradi saba ya awamu ya kwanza itapokuwa imetekelezwa. Na kama kutakuwa na migongano au mifarakano, hadi itakapokuwa imetatuliwa.
Mkataba huu hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile hata kama tumevunja uhusiano wa kidiplomasia na U.A.E (Falme za Kiarabu)
Chanzo: Jambo Tv
Umemsahau Kitenge na Hando wanasheria wabobevu wa mambo ya mikataba.Najiuliza sana!
Inawezekanaje Profesa Shivji awe mwanasheria na azijue sheria kumzidi mbobezi wetu wa sheria ndugu Zembwela?!
Kwamba mnataka niamini Shivji ni nguli wa sheria kumzidi Maulid Kitenge!
Eti Profesa Shivji ana mzidi kudadavua sheria za mikataba mwana sheria mbobezi wa sheria za mikataba ndugu Msigwa?!
Acheni kuniaminisha ujinga atiii!
NB: Mod, andiko langu ni swali tafadhari msiuunganishe ili niweze kupata majibu.
Nimeuliza swali, kwanini arudie hayo mara mbili?Unawaza nini? Unataka kusema hajausoma huo mkataba.