Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Hoja please. Siyo umbeya
 
Prof. Issa Shivji naye ana hisa Ticts?, Mzee Joseph Butibu naye ana hisa Tcts?, Mzee Joseph Sinde Warioba naye ana hisa TICTS?, Kadinali Pengo naye ana hisa TICTS?, Father Kitima naye ana hisa TICTS?, Dk. Nshala naye ana hisa?, Wakili Boniface Mwabukusi naye ana hisa?, Adam Malima naye ana hisa?, TLS, LHRC nao wana hisa?Askofu Mwamakula, Askofu Mwamalanga, Askofu Maxmilian Machumu Mwanamapinduzi wote wana HISA?
Kwanini tusiandamane?
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Na wewe umewekeza wapi au ni udini first
 
Hivi vimisemo vya sijui kuchezea koki utalowa hua ni vimisemo vya machoko.
Sasa nimeelewa maumiv yako yapo wapi! Btw ulidandia usilolijua that's why. Machoko ni msemo ambao still hauondoi ujinga wako wa kuparamia kujib bila tafakar!!
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Hujitambui. Mtu anaongea fact kuusaidia wewe na kizazi chako.
 
Prof. Issa Shivji naye ana hisa Ticts?, Mzee Joseph Butibu naye ana hisa Tcts?, Mzee Joseph Sinde Warioba naye ana hisa TICTS?, Kadinali Pengo naye ana hisa TICTS?, Father Kitima naye ana hisa TICTS?, Dk. Nshala naye ana hisa?, Wakili Boniface Mwabukusi naye ana hisa?, Adam Malima naye ana hisa?, TLS, LHRC nao wana hisa?Askofu Mwamakula, Askofu Mwamalanga, Askofu Maxmilian Machumu Mwanamapinduzi wote wana HISA?
Hamjitambui. Mtu anaongea reality na fact mnaanza ubadili msg. Shida ya watanzania ndio hii wanalalamika mtu akitokea kusaidia mnamgeuia. Shida elimu yetu ya ukaririshwa. Hamna uwezo wa ku think na ku evaluate risk managment.
 
Hujitambui. Mtu anaongea fact kuusaidia wewe na kizazi chako.
Nipe fact moja aliyoiongea?

Ajisaidie mwenyewe kwanza na wewe unayengoja binadam wenzio wakusaidie.Mii sina ujinga huo, aliniumba na kunileta duniani anatosha kabisa, sihitaji msaada wa maisha kwa binaadam yeyote yule.
 
Faizafoxyutakuwa unamwonea. Kwanza siamini kama atakuwa ameelewa hata alichokisema. Kama hoja tu za akina Mwambukusi wanazozitoa kwa Kiswahili huwa haelewi, ataelewa hizo zilizotolewa kwa Kiingereza?
Acha utoto kaka Bams. SSH anahudhuria mikutano ya IMF na EU mara nyingi tu na kwenye kingereza yupo vizuri kuliko mtangulizi wake.
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Kwanini unamshambulia Mtu badala ya hoja yake?? Huo ni umasikini wa fikra.
 
Back
Top Bottom