Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Ndo hoja zinavyojibiwa kwa charracter assassination?

Kuna tatizo kubwa kwenye huu mkataba kwa sababu serikali inatumia msuli kupambana na wakosoaji na hata nyie mnaooshi kwa bahasha za khaki mmeonesha namna ambavyo serikali isivyoweza kuwa na capacity ya kudadavua ama kujibu hoja za wanaopinga contents za mkataba huo mbovu
Mtu akimwaga ugali, wewe mwaga mboga - Lowasa.
 
Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
View attachment 2717356
Africa ndiyo kitovu au ghala la rasilmali pamoja na maliasili zote muhimu kwa ajili ya ustawi wa Dunia hii. Ni bara lililobarikiwa kuliko mabara mengine, tuseme hivyo. Kuna mzungu mmoja aliwahi sikika akisema, Africa is paradise!

Rasilmali, maliasili, haiba ya waafrika, n.k. ndiyo vitu vinavyoiponza bara hii hata kugombaniwa na wakazi wa mabara mengine. WW I ilizuka kwa ajili ya kugombania kuligawa bara la Afrika; WW II hali kadhalika. Ulaya bila Africa haipo!

Inasemekana 40% ya ustawi wa Uingereza (kiuchumi) unategemea. 80% ya nishati ya umeme wa France unategemea madini ya uranium kutoka Guinea. Unaona kazi hapo?

Inasemekana nchi ya Tanzania iko "juu ya vito vya thamani" (madini ya aina na namna mbalimbali). Inasemekana ndege maalum za kuchunguza vito na madini haya zipitapo juu ya anga la Nchi yetu, Nchi yote hutoa mng'ao wa vito hivi. Mastaajabu ya dunia haya!

Sasa ktk hali hii mzungu atakuacha kweli?! Wazungu kwa kulijua hili walijikita kwenye teknolojia wakijua wazi watakuja kuitumia kututawala kiuchumi na Ndicho kinatokea sasa.

Maendeleo na ustawi wa Waarabu umetegemea mafuta na gesi na mazao mengine yatokanayo kwa miaka mingi. Bidhaa hii imepata mbadala kwa wazungu wa Nchi za magharibi pamoja na watu wa Asia za Japan kuamua kuunda motokari za umeme ili kuokoa ozone layer ktk anga zao zinaathiriwa na hewa ukaa utokanayo na mafuta. Hili ni janga kwa Waarabu. Janga kubwa kwelikweli.

Wanafanyaje sasa? Ndiyo haya ya kuwa wana-hustle kuteka Bandari mbalimbali duniani kwani ktk huu ulimwengu wa kila kitu ni biashara, Bandari na miundombinu mingine ya usafirishaji ni jambo la muhimu mnoo. Aidha, wazungu wa magharibi ndiyo wenye mapesa. Pesa zinawawasha hadi wanaweza kuzitumia kuja kushangaa panya waliopo Tanzania kwa kulipa mamilioni ya pesa; mwarabu anatumia kutojitambua kwetu kuhamisha wanyama mwitu wetu na ameanzisha artificial mbuga ya wanyama mwitu, mbuga za Serengeti, Ngorongoro, Mikumi, Serous, Katavi Ni chaMtoto. Chezea akili kubwa weye!

Miaka si mingi idadi ya watalii wanaokuja Tz itapungua kwa viwango vya kutisha. Itabidi tuwapatie kabisa mbuga zetu, tena bure!

Anyway, tumaini letu Tanzania ni kwa BWANA kwa maana ana uwezo wa milele!
 
Mkuu hivi huwa huna kazi ya kufanya? Kila muda lazima ukomment tena negative comments?
Wewe jamaa vipi? Unajisikia kweli unavyosema na kuandika kutoka ndani ya moyo wako?

Hebu jisome tena kwenye comment yako☝️☝️☝️

Kwani wewe unafanya nini humu? Huna kazi ya kufanya?Maana Kwa comment yako hii, it's obviously hata wewe umo humu muda wote kuashiria kuwa huna kazi nyingine ya kufanya ili tu kila siku uwe unamsoma huyu jamaa denooJ kujua comments zake ni negative au positive..!!

By the way maoni ya mtu fulani ni negative au positive ni ni tafsiri ya kimantiki ya mtu mmoja mmoja. Uonavyo wewe si lazima iwe vile kwa mwingine. Wewe ukiona negativity kuna wanaoona positivity ..!!

Jisome tena kisha jifanyie self assessment na amua mwenyewe kujiita vyovyote mjinga au mpumbavu..!

Heshimu maoni na mitazamo ya wengine..!!
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.


Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Hivi kuna mahali katika michango yako unakosa kuandika kanisa? Kweli nchi imeporomoka kwa muda mfupi. Samia umefanikiwa kuvunja vunja kabisa misingi ya utaifa letu. Machafuko yakija laana ikufuate kokote hata ukienda ujombani Oman,
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.


Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Umeandika ujinga mtupu. Mwenzako anapinga kwa hoja we unaunga mkono kwa viroja! Tumia kichwa chako vema
 
Prof. Issa Shivji naye ana hisa Ticts?, Mzee Joseph Butibu naye ana hisa Tcts?, Mzee Joseph Sinde Warioba naye ana hisa TICTS?, Kadinali Pengo naye ana hisa TICTS?, Father Kitima naye ana hisa TICTS?, Dk. Nshala naye ana hisa?, Wakili Boniface Mwabukusi naye ana hisa?, Adam Malima naye ana hisa?, TLS, LHRC nao wana hisa?Askofu Mwamakula, Askofu Mwamalanga, Askofu Maxmilian Machumu Mwanamapinduzi wote wana HISA?
Akija kujibu hii hoja uniambie 😂
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.


Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Acha kudeal na mambo personal .hiyo tabia huwa ya mange kimambi .Jibu hoja alizoweka mezani .hayo ya yy na ruge anzisha uzi wako
 
umeongopa hapa mzee........huu ni uongo huyu muhaya ana hoja mpinge kwa hoja sio kumshushua anza na hapo timeles contract na piah kwanini watake kucontrol bandar zote za bahar na maziwa🤣😅😇....
Siku zote waandishi wanaojua kazi zao Ili kupata content nilazima wa ulize maswali ,sasa huyu jamaa kazoea waandishi njaa wa hapa home ko lazima impe shida 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom