Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Fukara ni wewe unayemshobokea tajiri ,tena jielewe mpumbavu mkubwa njaa zako kama anakulisha ni wewe .
Huyo Tibaijuka kaisaidia nn nchi yake? zaidi ya kuzunguka na kuajiriwa na wazungu hakuna cha maana hapo kapewa maagizo ya kanisa apinge na ana maslahai yake huko TICTS.

Mikataba mingapi hakupinga? Si kaiba pesa za kibao ..kama anakufadhili wew na familia yako kwa umaskini wenu ni nyie kaaa kando sipendi shobo na washamba.

Sipendi shobo na upinde kabisa .!!
Lakini wewe unashobokea Waarabu
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Kila anayedai haki ya kujitawala wenyewe ana masilahi na ninyi mnaouza nchi hamna masilahi binafsi

Ni kazi ya Shetani kuwageuzia kibao wenye haki ukidhani utaonekana mwenye haki

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Huyu samia ajitathimini.haiwezekani wasomi wazuri kama tibaijuka kuukataa mkataba huu wa kihuni lakini yeye mwenye vyeti vya kuungaunga na siyo profesa ndiyo aone mkataba ni mzuri.Taifa kuongozwa na form four failure ni hasara kubwa sana
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
watanzania mna maudhi sana! badala ya kujibu hoja alizozisema, mnakimbilia kwenye "personal attack!"

shithole!
 
Amen ubarikiwe pia, Mishale ya adui isikupate,

Mungu akutunze kama mboni ya jicho lake, usimame Kila palipo na HAKI.

Beba silaha hizi hutoshindwa popote: Jifunge KWELI kiunoni, Dirii/ngao ya HAKI kifuani, miguu Yako ipewa utayari, , Pia beba NGAO ya IMANI Ili kuizima Mishale ya adui, Wokovu,Ubebe pia Upanga Roho ambao ni Neno la Mungu moyoni, maombi na Sala pia.

Ukiwa na silaha hizi hutamhitaji sangoma kukulinda dhidi ya makombora yasoonekana dhidi ya Roho na NAFSI Yako.

Amen
Isaya: 35:8
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Ila umesikia material ya MBA aliyoyatoa, ni Elimu kubwa, hatupingi investment, mkataba ni mbovu, unaleta monopoly na kuondoa competition, na popote pale ambapo hakuna competition hakuna motivation, na kutakuwa hakuna creation na innovation. Halafu kaongelea sovereign, huwezi kumpa investor kila kitu kwenye nchi yako afanye control. Limitless contract, afuatwe yeye kwanza kama kuna kuna mradi mwingine badala ya kumpa investor mwingine.

She has a point!!!
 
Huyu samia ajitathimini.haiwezekani wasomi wazuri kama tibaijuka kuukataa mkataba huu wa kihuni lakini yeye mwenye vyeti vya kuungaunga na siyo profesa ndiyo aone mkataba ni mzuri.Taifa kuongozwa na form four failure ni hasara kubwa sana
Elewa pia kuwa kuna wasomi wachumia tumbo. Tatizo la Tanzania ni Uongozi wenye uzalendo uliokomaa bila kujali elimu zao. Kawawa hakuwa na elimu kubwa lakini alikuwa kiongozi mzalendo aliyekomaa. Hata Mzee Karume hakuwa na elimu lakini alikuwa mzalendo aliyekomaa.
 
Back
Top Bottom