Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Leo unalikana kanisa? Anna Tibaijuka hakuwekewa mamilioni kwenye benki ya kanisa? Akasema vihela vya mboga tu hivyo, wamepewa shule? Umesahau au ulikuwa bado unajinyea kwenye nepi?

cc Mama Amon
Vitu vingine hupasw hata kunegotiate issue ya juz ya escrow then unasema mtu alikua anavaa nepi!! Halaf jihadist cjui kwann kichwan hua watupu!!
 
Vitu vingine hupasw hata kunegotiate issue ya juz ya escrow then unasema mtu alikua anavaa nepi!! Halaf jihadist cjui kwann kichwan hua watupu!!
Sasa wewe hata kuandika tu hujui halafu unasema eti wengine ni watupu kichwani! Kajifundishe kuandika kwanza Panzi wewe.
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Wakati mwingine acha kujitoa fahamu. Why unafanya vitu vya kitoto namna hii.
 
Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
View attachment 2717356
VITA VYA TONGE KUWAPONYOKA NI VITA VIKALI KWELI, DPW +TANZANIA GOVT GOES ON NOTHING TO STOP THIS GOOD PROJECTS.

>JE MNAFAHAMU KISA CHA TUBAIJUKA KUPIGANA NAMNA HII?,😁😁😁 HAWA NDIO KUNDI SPESHO WANAO-DIVERT MAPATO,VITA LAZIMA VIWE VIKALI KWELIKWELI....
SWALI MMEKULA MIAKA NA MIAKA,HAMTOSHEKI JAMENI,ALMOST 22,YA KUTAFUNA BADO NJAA IPO PALEPALE!
 
Wee nae acha kuchezea koki utalowa!! Wap nimekosea kuandika? Au ulitaka niandike lugha ya Afghanistan?
Sasa kama hujui kuandika utaonaje kama umekosea wakati huna akili ya kujua makosa yako?

Hivi vimisemo vya sijui kuchezea koki utalowa hua ni vimisemo vya machoko.
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Hakupi shida wewe na nani?
 
We unamzidi nini tibaijuka , fukara mtupu wewe watu tunaangalia Tanzania inayo vizazi vyetu vitatumiaje rasilimali unaleta chuki za umasikini wako

N
Fukara ni wewe unayemshobokea tajiri ,tena jielewe mpumbavu mkubwa njaa zako kama anakulisha ni wewe .
Huyo Tibaijuka kaisaidia nn nchi yake? zaidi ya kuzunguka na kuajiriwa na wazungu hakuna cha maana hapo kapewa maagizo ya kanisa apinge na ana maslahai yake huko TICTS.

Mikataba mingapi hakupinga? Si kaiba pesa za kibao ..kama anakufadhili wew na familia yako kwa umaskini wenu ni nyie kaaa kando sipendi shobo na washamba.

Sipendi shobo na upinde kabisa .!!
 
Katiba mpya iandike wazi mtu ambaye ana vinasaba na taifa lingine asiruhusiwe kugombea au kurithi cheo cha urais wa Tanganyika peoples society. Wajomba na mashangazi siyo watu wazuri
Obama mjaluo Alitawala America Taifa kuuuuuuuubwaaaaaa Duniani tena lenye nguvu za ajabu !! Rishi Sunak anaiongoza Uingereza taifa kubwa kweli kweli ni mhindi tena pure hakuchanganya na damu yeyote tofauti 😅😅🙏🙏 Ubaguzi uliishaga zamani sana huko kwa Makaburu !😅😅🙏
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Poapoa tumekusikia. Haya jibu hoja zake.
 
Back
Top Bottom