Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.
Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, utafanikiwa vipi?
Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.