Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Kati ya Wahaya, Wakatoliki/ Wakristo na Wanyakyusa, ni nani unawachukia zaidi?
 
Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.

Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, utafanikiwa vipi?

Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.
News zimeenda viral.. Hii itasaidia sana wote waliokamatwa na watakaokamatwa wasidhuriwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Hii siyo hoja Bali ni umbeya

Jikite kwenye hoja [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Waislam wameanza tena kuuwa watu kule Kibiti
 
Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.

Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, utafanikiwa vipi?

Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.
nadhani watanganyika walio je ya tanzania particulaly wester world ndio wa ku take lead katika mapambano haya maana hapa kila mmoja atakamatwa/kuuawa/kutekwa/kupoteza and the like!
tetesi eti makatili mawili sabaya ba Makonda wanakuwa wakuu wa mikoa! Analeta wauaji, makatili yamaidie kuua
 
Back
Top Bottom