Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Ukisikiliza mahojiano utaona kabisa ni kama mwandishi anadhani Tibaijuka hajui anachopinga? Anampiga maswali kama anashangaa kwa nini mnakataa huyu mwekezaji maana hata mambo anayoongea Tibaijuka yanaonekana kama hayana logic?
umeongopa hapa mzee........huu ni uongo huyu muhaya ana hoja mpinge kwa hoja sio kumshushua anza na hapo timeles contract na piah kwanini watake kucontrol bandar zote za bahar na maziwa🤣😅😇....
 
Huo ndio uandishi
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Deal na content ya alichokisema!
 
Deal na content ya alichokisema!
Kakisema nini zaidi ya utumbo tu? Anaongelea mkataba wa uwekezaji, kuna mkataba wa uwekezaji tayari? Uko wapi?

Amekaa anadanganya tu. Jiulize kwanini adanganye? Huyo mama mmesahau uongo wake? Alitiliwa mamilioni kwenye akaunti yake na habinder singh, akadanganya haya ya shule. Shule haina akaunti?

Kikwete akamfinya kiduchu, akamwambia mama usijiaibishe zaidi ni heri ukae kimya. Mwamba alivyokuwepo alikuwa kimya kaufyata, sasa anaona kapata pa kupumulia anaanza tena kuongea utumbo.
 
umeongopa hapa mzee........huu ni uongo huyu muhaya ana hoja mpinge kwa hoja sio kumshushua anza na hapo timeles contract na piah kwanini watake kucontrol bandar zote za bahar na maziwa🤣😅😇....
Sasa kwa wenye akili wanamshangaa. Iga imesema kutakuwa na HGA kuhusu huo uwekezaji alafu unasema IGA iwe na timeliness?? Huo ni uzuzu
 
Tunapopita Mungu ameamuru tupite au huoni au unataka kuziba masikio mtumwa wa kristo ndimi CIA mgumu
Noted🙏🙏

Bt tukinyamaa kabisa nani ujumbe wa may 2024 utawafukiaje watu Ili wajinasue na kadhia ijayo?

Ni vizuri kusema bila kujali watachukua hatua au kunyamaa!!

Bt Asante Kwa ujumbe murua, nautunza CIA🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom