Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Hoja please. Siyo umbeya
 
Kwanini tusiandamane?
 
Na wewe umewekeza wapi au ni udini first
 
Hivi vimisemo vya sijui kuchezea koki utalowa hua ni vimisemo vya machoko.
Sasa nimeelewa maumiv yako yapo wapi! Btw ulidandia usilolijua that's why. Machoko ni msemo ambao still hauondoi ujinga wako wa kuparamia kujib bila tafakar!!
 
Hujitambui. Mtu anaongea fact kuusaidia wewe na kizazi chako.
 
Hamjitambui. Mtu anaongea reality na fact mnaanza ubadili msg. Shida ya watanzania ndio hii wanalalamika mtu akitokea kusaidia mnamgeuia. Shida elimu yetu ya ukaririshwa. Hamna uwezo wa ku think na ku evaluate risk managment.
 
Hujitambui. Mtu anaongea fact kuusaidia wewe na kizazi chako.
Nipe fact moja aliyoiongea?

Ajisaidie mwenyewe kwanza na wewe unayengoja binadam wenzio wakusaidie.Mii sina ujinga huo, aliniumba na kunileta duniani anatosha kabisa, sihitaji msaada wa maisha kwa binaadam yeyote yule.
 
Faizafoxyutakuwa unamwonea. Kwanza siamini kama atakuwa ameelewa hata alichokisema. Kama hoja tu za akina Mwambukusi wanazozitoa kwa Kiswahili huwa haelewi, ataelewa hizo zilizotolewa kwa Kiingereza?
Acha utoto kaka Bams. SSH anahudhuria mikutano ya IMF na EU mara nyingi tu na kwenye kingereza yupo vizuri kuliko mtangulizi wake.
 
Kwanini unamshambulia Mtu badala ya hoja yake?? Huo ni umasikini wa fikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…