Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Lakini wewe unashobokea Waarabu
 
Kila anayedai haki ya kujitawala wenyewe ana masilahi na ninyi mnaouza nchi hamna masilahi binafsi

Ni kazi ya Shetani kuwageuzia kibao wenye haki ukidhani utaonekana mwenye haki

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Huyu samia ajitathimini.haiwezekani wasomi wazuri kama tibaijuka kuukataa mkataba huu wa kihuni lakini yeye mwenye vyeti vya kuungaunga na siyo profesa ndiyo aone mkataba ni mzuri.Taifa kuongozwa na form four failure ni hasara kubwa sana
 
watanzania mna maudhi sana! badala ya kujibu hoja alizozisema, mnakimbilia kwenye "personal attack!"

shithole!
 
Isaya: 35:8
 
Ila umesikia material ya MBA aliyoyatoa, ni Elimu kubwa, hatupingi investment, mkataba ni mbovu, unaleta monopoly na kuondoa competition, na popote pale ambapo hakuna competition hakuna motivation, na kutakuwa hakuna creation na innovation. Halafu kaongelea sovereign, huwezi kumpa investor kila kitu kwenye nchi yako afanye control. Limitless contract, afuatwe yeye kwanza kama kuna kuna mradi mwingine badala ya kumpa investor mwingine.

She has a point!!!
 
Huyu samia ajitathimini.haiwezekani wasomi wazuri kama tibaijuka kuukataa mkataba huu wa kihuni lakini yeye mwenye vyeti vya kuungaunga na siyo profesa ndiyo aone mkataba ni mzuri.Taifa kuongozwa na form four failure ni hasara kubwa sana
Elewa pia kuwa kuna wasomi wachumia tumbo. Tatizo la Tanzania ni Uongozi wenye uzalendo uliokomaa bila kujali elimu zao. Kawawa hakuwa na elimu kubwa lakini alikuwa kiongozi mzalendo aliyekomaa. Hata Mzee Karume hakuwa na elimu lakini alikuwa mzalendo aliyekomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…