Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Jadila hoja, siyo mtu
 
Dada tulikumiss kipindi cha Mwamba!
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Alaaaah, kumbe nae alikuwa shareholder, sio!
 
Kumbe na wewe umekaona hako kajamaa mkuu,

Haka kajamaa bila shaka ni kapigaji kule maji chumvi,kanaona DPW wakija katakosa kupiga,kanahangaika na vicomment vyake,hakajui kua vicomment vyake havina impact yeyote kwenye issue ya DPW.

Halafu unaweza kukuta ni mtu mzima tena na anafamillia inayomtegemea,unatarajia hapo watoto wake wako na tabia gani.
 
Umefanya vizuri kuweka picha, ila siku nyingine ongezea maandishi
 
Ebo,kumbe Tena!

Duu Sikudhani km Samia yupo na mambo ya ajabu km hivi

Na Dunia ijue Mali ya ukoo haiuzwi au kubinafsishwa na mtu mmoja bila ridhaa ya Wana ukoo wote.

Kununua Mali ya ukoo, ni kuokota pesa ya majini ilotegwa njia panda.

Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.

Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, utafanikiwa vipi?

Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.
 
Back
Top Bottom