Wakue unajiua mwenyewe si uliutafuta au ulikufwata? 😂Dah ccm itoke madarakani tuu wanataka kutuua sisi ambao tuna ukimwi
Kula vizuri wengi tuna ukimwi na hatumezi Dawa tunazingatia lishe na mazoezi.Lengo lake ngozi nyeusi tusiwepo duniani abaki yeye na pua yake kama katuni
Niliambukizwa na maji ya shirika la umma dawasa kwahy serikali ya ccm inahusikaWakue unajiua mwenyewe si uliutafuta au ulikufwata? 😂
Ila unafikiria kwa upande wako je kule kijijini mwezi wa pili mwezi wa njaaKula vizuri wengi tuna ukimwi na hatumezi Dawa tunazingatia lishe na mazoezi.
Acha basi 😂Niliambukizwa na maji ya shirika la umma dawasa kwahy serikali ya ccm inahusika
Kina mzabzab haoNdo lengo la Trump maana kuna baadhi ya waathirika wanambukiza wengine kwa makusudi
Hii inaitwa nyuma geuka🤣🤣🤣🤣🤣Wengine tumeajiriwa kwenye hayo mashirika yanayohisiana na HIV, njaa ndiyo itatuuwa!🙆
Niliupata kwa binadamu pia so nao wataupata kwa binadmu mzabzabKina mzabzab hao
Serikali haiwezi kuacha watu wajifie lazima itaangalia alternative maana hata wao viongozi wakubwa wana ukimwiIla unafikiria kwa upande wako je kule kijijini mwezi wa pili mwezi wa njaa
Nilivyoelewa; Trump kupitia Depertment husika ametoa siku 90 kuhuisha programs anazofadhili ktk nchi za nje kuhakikisha zinaendana na sera zake. Ndio maana kasema wafanyakazi wataendelea kulipwa.Waziri wa zamani wa Ardhi, Prof. Anna Tibaijuka amesema afya za Mamilioni ya Waafrika na Watanzania zipo hatarini kutokana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada kwa Mashirika ya Afya Duniani hususani PEPFAR na GLOBAL FUND ambapo amesema uamuzi huo ukitekelezwa ni kiama.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
Source: Millard Ayo
Toa maoni yako
Wanachomaga sindano kwa miezi kwao sio kazi kujitibuSerikali haiwezi kuacha watu wajifie lazima itaangalia alternative maana hata wao viongozi wakubwa wana ukimwi