Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Tujiandae kwa lolote yule bwana ana kiburi cha uzima kabisa jinsi alivyo kuwa anaongea ile siku unamuona kabisa
Nyie Kama mna rasilimali madini n.k mnaahindwa vipi kupunguza gharama za uendeshaji Kwa kujibana na kuwekeza katika Afya.


Trump anaweza akawa hayupo sahihi Ila msipende mambo ya bure lazima mjifunze kujitegemea.


Mpaka sasa mngekuwa serious mgekuwa mmeshaishinda vita ya ukimwi hata kwa asilimia kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…